Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

Mbona unatutoa kwenye focus ya ushindi wa Trump huko Marekani?
Wakati dunia inatafakari Trump atafanya nini harafu unatuletea habari za Mama Abdul?
Ulipaswa kutuletea Mada za CCM imejifunza nini kuhusiana na Uchaguzi wa wazi (usio wa Polisi kupora masanduku ya kura na kukimbia nayo kuchomeka kura za wizi)?
Democratic ndio wana Mengi ya kujifunza kutoka CCM katika kuwashawishi watu kuwapatia kura katika kila uchaguzi
 
zinduna wetu amekwishatoa pongezi kwa Tramp au bado?, nchi kubwa zenye power zinaongozwa na rais mwanamume wa maamuzi 🙂
 
Acha kuweweseka ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo
Nateseka na nini wakati mimi nipo zangu cannada nakura mema ya dunia ya first class wewe unachakaa na tambara lako la kijani kama shuka la wodini...........aibu.........kinachoifuraisha nafsi yako nakijua..........sababu umezoea kuangalia na macho mawili tu yaani lile jicho la shule bado umelifunga........siku ukilifungua utajua kwamba ulikuwa unapoteza muda wako na wala si uzalendo ulinao.............wewe endelea kuombewa kwa maombi kwamba utatoboa wenzio wkiendelea kuombewa na maburungutu mwanana
 
zinduna wetu amekwishatoa pongezi kwa Tramp au bado?, nchi kubwa zenye power zinaongozwa na rais mwanamume wa maamuzi 🙂
Huna adabu kabisa wewe.inaonyesha umekosa malezi mazuri ya wazazi wako ndio maana huna adabu wala heshima.
 
Nateseka na nini wakati mimi nipo zangu cannada nakura mema ya dunia ya first class wewe unachakaa na tambara lako la kijani kama shuka la wodini...........aibu.........kinachoifuraisha nafsi yako nakijua..........sababu umezoea kuangalia na macho mawili tu yaani lile jicho la shule bado umelifunga........siku ukilifungua utajua kwamba ulikuwa unapoteza muda wako na wala si uzalendo ulinao.............wewe endelea kuombewa kwa maombi kwamba utatoboa wenzio wkiendelea kuombewa na maburungutu mwanana
Ndio maana huelewi kinachoendelea hapa Nchini.kwa taarifa yako kwa sasa Tanzania chini ya Rais Samia ndio chaguo nambari moja la watalii, wawekezaji,wafanyabiashara wakubwa na watu mbalimbali maarufu kama vile wana michezo.kwa sasa kila eneo ukipita ni maendeleo tu na miradi mbalimbali ya maendeleo inaendelea kutekelezwa kwa kasi ya Mwanga.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .

Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.

Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.

Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habariView attachment 3145518

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Una tatizo mahala, kwa sababu zipi amekuwa Trump?.
 
Menopause inakusumbua dada Lucy
 
Uvcc ni vitolea taka kweli,kwamba anafunika mpaka ushindi wa trump na uchaguzi
 
Attachments

  • 5872128-4f4a645001b102135c8fa4dd8eea1311.mp4
    8.8 MB
  • 5872129-22cd402f8fcf139df3b61ea27c005ac2.mp4
    8.2 MB
Nimehuzunika sana kwa kuzunguka kwako robo tatu ya ulimwengu kutafuta tiba ya wehu na hujaipata
 
Back
Top Bottom