Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

Ndugu zangu watanzania, mwenzenu ndio naamka, nauliza tu dunia ilishasimama huko? Mweshimiwa sana mwashamba nisaidie, thanks
 
Kuandaa tu uchaguzi wa serikakinza mitaa kachemka - mambo hivyo hovyo...ati Dunia khaaa!!
 
IKIWAPENDEZA Moderator NA MUANZILISHI WA JF Maxi Malewo MUWEKE KITUFE CHA KUBLOCK THREAD ISIONEKANE KWANYE PROFILE YA MTU, MFANO MM NINA ALLERGY NA THREAD ZA KUSIFU NA KUABUDU(THREAD ZA KICHAWA). NATANGULIZA SHUKRANI HUKU NIKIBUBUJIKWA NA MACHOZI( MTUSAIDIE ILI TUWEZE KULINDA AFYA ZETU ZA AKILI) NADHANI JF ITAKUWA BORA ZAID NA ITAONGEZA CHACHU YA WATU KUANZISHA THREAD ZENYE MANTIKI PIA KUPUNGUZA MAGOMVI KWAKUA CHAWA WATAKOSA ENGAGEMENT( LIKE AND COMMENT), HIVYO ITAWALAZIMU KUBADILIKA NA KUANZA KUTUMIA AKILI ZAO VIZURI KWAKUA BILA HIVYO WATAKUWA WANAJIONGELESHA WENYEWE.
 
Huyu anaitwa msomi wa UDSM Kisima cha fikra kumbe takataka kabisa ya chooni
 
Yes, afisa wa Ubalozi wa Cuba alionekana ITV jana akitoa angalizo na ahirisho hilo, kutokana na uwepo wa kimbunga chenye athari ambacho kimeathiri usafiri wa anga.
 
Mungu kasema NO. Hakuna jambo kama hilo.
 
Acha uchawa wee Mwashambwa. Unakua mshamba sasa. Ukitaka kumtendea Samia haki mpe sifa anazostahili. Anazo sifa zake nzuri tu sio unamlundikia ulaghai. Hii ndio ubaya wa nyie chawa.
 
Mlioko duniani eti jana dunia ilisimama? Mimi nipo Jupiter.

Imekuwa safari ya mkosi aliyeenda kumsaidia kaangukia pua safari ya Cuba imeahirishwa na kimbunga.
Laana hizo mzee unaenda kutoa speech gani ya maana na ww ni mpuuzi tu mbele ya wanaume.
 
Hakuna kitu hapo.
 
Labda kwa wizi wa haki za wapinzani. Mwislamu gani safi anafanya haya yanayofanywa na mkwe wake.
 
Wewe ni lijinga kama wajinga wenzako huko ccm...huko cuba kaingia mitini location inasoma barbados....mungu msamehe huyu lofa na mpumbavu
 
Mtu
Mwenye akili timamu hawezi kukuelewa labda zero brain wenzako wa ccm....acha kula ugoro ndio mana hauko timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…