Rais Samia kukomba Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Kimarekani kuja kuwekeza Tanzania

 
View attachment 2447597
 
Kwa umeme upi? Huu huu wa mr. February wa majenereta?
 
Kwa umeme upi? Huu huu wa mr. February wa majenereta?
Kwa Sasa Hali ya Umeme Ni njema,Ikumbukwe kuwa changamoto ya umeme kwa kiasi kikubwa ilisababishwa na Hali ya ukame iliyokuwa umeikumba nchi yetu,Hata hivyo tunamshukuru serikali yetu kwa juhudi zake za kupambana na changamoto hii,lakini pia tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini mwetu ambayo itamsaidia kuongeza kina Cha maji na kumaliza tatizo la umeme
 
Elewa maelezo kwanza, kasema sera zinabadilika kila rais mpya anavyoingia, sasa Rais Samia akitoka madarakani baada ya muda wake mwekezaji aanze kuwa na wasiwasi..
Rais Atabadilika baada ya muda wake kuisha Ila serikali itaendeleaa kuwa Ni ya CCM yenye Sera nzuri za kiuwekezaji hasa kwa kuzingatia aina ya diplomasia yetu ambayo Ni ya uchumi, kwa hiyo atakaye kuja ataanzia alipoishia mtangulizi wake kwa kuendeleza Yale mazuri. Na katika suala la uwekezaji na wawekezaji Ni Jambo ambalo serikali yetu ya ccm imekuwa inalitilia maanani na umuhimu kwa kuwa inatambua faida zake katika uchumi wetu kwa kuongeza wigo wa mapato na kuzalisha fursa za ajira kwa vijana
 
Your browser is not able to display this video.
Msikilize Mwa Nyerere hapo alafu jifunze kitu
 
Hali ya sasa ni njema ukilinganisha na wakati gani?
Kwenu umeme upo masaa 24 toka lini? Kwa siku ngapi?

Mwekezaji gani mwenye akili timamu awekeze kwenye nchi umeme unategemea mvua? Maji ya mgao wakisubiri matatizo yao kutatuliwa kwa kuombu Mungu?
 
View attachment 2447622Msikilize Mwa Nyerere hapo alafu jifunze kitu
Kwa Sasa serikali ya CCM ndicho inachokifanya chini ya Rais Samia ambapo wazawa wanapewa fursa za kukua na kukuza mitaji yao,ndio maana Mara tu Rais Samia alipoapishwa kuwa Rais alisema anahitaji Kodi za haki,haihitaji wafanyabiashara na wawekezaji wa kitanzania wasumbuliwe hovyo na TRA,akasema anataka wafanye biashara kwa amani Uhuru na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na taratibu zote zilizopo,Ndio maana unaona saiz hakuna malalamiko ya wafanyabiashara juu ya kuonewa au kukadiriwa makodi makubwa kwa kukomolewa au husikii habari za wafanyabiashara kupokonywa au kuchukuliwa pesa zao Benji.hii yote na juhudi zote hizi Ni katika kutaka kuona wazawa wanakuwa kibiashara na kuwekeza hapa nchini na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kuchangia kuongeza mapato ya serikali kupitia kulipa Kodi,

Dhamira njema ya serikali ya Rais Samia katika kukuza uwekezaji wa wazawa imekuwa wazi na Mara nyingi ametamka hata hadharani
 
Elewa maelezo kwanza, kasema sera zinabadilika kila rais mpya anavyoingia, sasa Rais Samia akitoka madarakani baada ya muda wake mwekezaji aanze kuwa na wasiwasi..
Kwa history ya Tanzania kila raisi mpya anaanza upya je nani ataweza kupoteza million zake $ kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo haieleweki??
 
Una laana sio bure wewe kiumbe
 
Hivi yule Mfanyabiashara wa kariakoo aliedhulumiwa mali zake za duka na TRA anatoka kigoma Raisi Samia ameshatatua swala lake??
 
Huko UWT mpeni huyu Lucas hata uMC kwenye shughuli zenu anatujazia server kwa magazeti yake ya kulamba wakubwa viatu.
 
Walewale!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…