Rais Samia kukomba Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Kimarekani kuja kuwekeza Tanzania

Rais Samia kukomba Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Kimarekani kuja kuwekeza Tanzania

Kwa history ya Tanzania kila raisi mpya anaanza upya je nani ataweza kupoteza million zake $ kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo haieleweki??
Huyo ndugu kaamua kabisa kujisahaulisha sijui ni mkenya huyu
 
Huyo ndugu kaamua kabisa kujisahaulisha sijui ni mkenya huyu
Serikali ni ya CCM na itaendeleaa kuwa ya CCM,hivyo atakaye ingia ataanzia alipoishia mtangulizi wake kwa kuendeleza mazuri na kufanyia maboresho ya sera zenye kuleta changamoto kulingana na wakati husika
 
Huyo ndugu kaamua kabisa kujisahaulisha sijui ni mkenya huyu
Hivi wewe uneshawahi kuwekeza Tanzania?? Nnazungumza kwa mfano kila raisi anaanza upya mikataba yote wanata kuangalia upya hata serikali za mitaa wanafanya hivyo mkuu wa wilaya anafanya hivyo kama wewe umwekezaji kila baada utawala kubadiliki unapeleka documeti tena na inashangaza kwani hawaweki kumbukumbu hayo ni maajabu ni usumbufu mkumbwa sana kwa wawekezaji
 
Akili ndogo! Kuwekezea kusiko na maji na umeme wa kugawa.! Shame in you.
 
Hongera Kwa maneno yako mazuri kama amevuta wawekezaji kutoka nje basi impact tutaiona uzalishaji Mali utaongezeka na shilling yetu itakua stable
 
Back
Top Bottom