Serikali ni ya CCM na itaendeleaa kuwa ya CCM,hivyo atakaye ingia ataanzia alipoishia mtangulizi wake kwa kuendeleza mazuri na kufanyia maboresho ya sera zenye kuleta changamoto kulingana na wakati husika
Hivi wewe uneshawahi kuwekeza Tanzania?? Nnazungumza kwa mfano kila raisi anaanza upya mikataba yote wanata kuangalia upya hata serikali za mitaa wanafanya hivyo mkuu wa wilaya anafanya hivyo kama wewe umwekezaji kila baada utawala kubadiliki unapeleka documeti tena na inashangaza kwani hawaweki kumbukumbu hayo ni maajabu ni usumbufu mkumbwa sana kwa wawekezaji