Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

Kama tunakopesheka sidhani kama Kuna shida tumuunge mkono Mama.
 
Nyongeza mkuu Kalamu1.

Dalili ya athari za madeni na kupelekea austerity kutokea ni nchi kuchapisha fedha mpya kujaribu kuziba pengo.
Na sasa tumesikia tetesi humu JF nchi flani inakaribia kuchapisha pesa mpya hali ya uchumi ni tete.
Ahsante mkuu kwa kuendelea kunifumbua macho.

Nilichokuwa najaribu kusogeza kwa wasomaji ni kulinganisha athari za mikopo toka sehemu mbalimbali. Akilini mwangu niliona kama nchi inapokopa toka nchi nyingine au kutoka kwa wafanyabiashara wa mabenki, kwamba mikopo hii ni lazima ilipwe kwa masharti yale yale yaliyokubaliwa mikopo ilipotolewa, vinginevyo nchi mkopaji anaweza kujikuta katika aibu kubwa sana na hata kufilisiwa.

Nilipotazama upande wa mikopo ya hwa IMF na WB, ambayo wakati mwingine ni kama wanalazimisha nchi ichukue mikopo hiyo, nikawa najiuliza kama inalazima ya kushikilia makubaliano ya ulipaji kama ilivyopangwa mwanzoni mwa mkopo. Kama nchi mkopaji anajisikia kuwa pesa ya kulipa hayo madeni inahitajika kufanyia shughuli nyingine muhimu kwa wakati huo, si kheri afanye shughuli hiyo kwanza, halafu atajadili ulipaji wa mkopo kwa majadiliano mapya na wakopeshaji?

Hizi 'austerity measures' kwa kweli ni kitanzi shingoni mwa wakopaji, lakini nadhani bado si kunyongwa kama yule aliyekopa kwenye mabenki ya biashara!

Inawezekana bado dhana yangu ikawa siyo sahihi, lakini bado ninaipa nafasi.
 
Kweli mikopo ya bank za kibiashara unafilisiwa haraka sana.
Au unashikiwa mali zako kama midege yetu ya ATCL.
nakuunga mkono hoja yako kuu.
 
Kweli mikopo ya bank za kibiashara unafilisiwa haraka sana.
Au unashikiwa mali zako kama midege yetu ya ATCL.
nakuunga mkono hoja yako kuu.
Tusiishie hapa mkuu wangu 'Titicomb' juu ya jambo hili.

Ninakusihi, upatapo ufahamu (zaidi) mpya juu ya hili jambo usikose kulijadili na kuendelea kulidodosa kwa kina, pengine kutakuwepo na wenye ufahamu mzuri zaidi yetu juu ya hili jambo na wao waweze kutufumbua macho juu yake.
 
Tunakopa sababu tuna capacity ya kukopesheka ila sio kwamba kuna jambo la maana la kufanya. Huyu mama kwa mwaka wake mmoja madarakani amemzidi hata Magufuli kwa kukopa kufanya mambo ambayo hayaeleweki.

Hakuna mradi umeisha hata mmoja ila kila kukicha anajikopea tu.
 
Kwa lugha nyepesi mama ana akili za kukopa.

Major difference btn mwendazake na Samia ni matumizi ya akili binafsi katika kufanya maamuzi.
 
Huyo choko @ the sunk cost fallacy anatetea upuuzi wowote alimradi uwe associated na bi. tozo tu ila nishamchana more than 1 time.

Magufuli alichagua kufanya kilichohitajika kufanyika kwa muda muafaka wala hakutaka kufuata procedures ambazo zinachelewesha maamuzi. Hili machawa wanalichukulia kwa advantage kuwa hakuwa anafatisha katiba ila its the same as ile mtu kagongwa na gari ana bleed vibaya halafu analazimishwa aende kuchukua PF3 kwanza bila kujali anaweza poteza maisha.

What Magu did ni kui bypass hio process na mtu aende hospitali kwanza kisha hio taratibu ndio ifate. It makes alot of sense ila mpuuzi haelewi
 
Tatizo sio kuongeza VAT ina maana watu million 50 tu ukikusanya kodi kikamilifu toka kwao hayo maendeleo hutayafanya?

Sisi tuna rasilimali watu wengi tu ambao kodi zao katika huduma na bidhaa wanazo access kila siku zikikusanywa kikamilifu hii nchi haiwezi kuwa fukara kwa kiwango tulichonacho.

Tatizo la taifa hili ni unafiki na usaliti. Kati ya 50M people kundi linalokusanywa kodi kikamilifu halizidi watu 3M kati yao wakiwemo wafanya biashara wadogo na watumishi, wakulima pamoja na wafugaji.
 
Kwa lugha nyepesi mama ana akili za kukopa.

Major difference btn mwendazake na Samia ni matumizi ya akili binafsi katika kufanya maamuzi.
Unaongeza wages bill kwa 1.5T then unageuka unenda IMF kukopa 2T...
 
You are sick in the head niamini.
 
Ushawai ona nchi ikauzwa, wacha wakope kwa maendeleo ya taifa
Sisi sisi ndo tunataka mafuta yashuke kodi na ushuru upunguzwe af bado ss tunaongea sana Rais akikopa tunataka nn sasa
Kwenye mafuta unajua ni shilingi ngapi walisema wanataka kukopa?

Nahiki kiwango kinachokopwa ni shilingi ngapi?
 
Umeandika nini hichi?
 
Sawa kwa miaka 5 ya JPM kulikuwa na ungezeko la $B9 ukigawa kwa 5 utapata wasta wa ongezeko la $B 1.8 kwa Mwaka.

Sasa twende kwa mama yenu; deni sasa hivi kilo $B37 ukikomotoa hapo unaua kuwa mama yenu ni ovyo sana yaani ndani ya Mwaka Moja tu demi limeongezeka mara dufu
 
Unatumia matako kufanya ujinga wako huo...

Mimi sio kilaza kama mke wako ambae utamueleza huo utopolo akaitikia kama nyumbu..

Kwa hiyo hilo ongezeko likaleta jumla ngapi ya deni lote?

Ulivyo mweupe kichwani kwamba deni likikopwa leo linaanza kulipwa leo leo? Saizi Mama analipa madeni yaliyokopwa miaka iliyopita.
 
Kwa hiyo wewe unaona ni pesa nyingi sana hiyo sio? Yaani Til.2 ndio imekuchanganya? Maskini wa akili na mali πŸ˜„πŸ˜„

Aisee Machadomo kichwani hamna kitu khaa,hivi unajua bajeti yetu ni dola bil.ngapi?
Kunya hio trillion 2 basi,
 
Hata likianza kulipwa mwaka 2025 haibadilishi ukweli kuwa mama amekopa 37B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…