Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa.
Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu zaidi ya mia tano wanakufa na kuzikwa usiku.
Ndege zetu zilipokamatwa walifurahi na kupiga mayowe kana kwamba wao sio watanzania huku wakiliombea mabaya taifa letu ili ndege ziuzwe.
Kwa ufupi hii ni baadhi ya scenario zinazoonyesha kuwa hawa watu hawafai na sio wazalendo.
Hivyo haikupaswa kuwakaribisha kabisa ikulu maana ni chama hata wananchi walishajua hakifai. Umetusaliti wazalendo.