Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

QUOTE="dr namugari, post: 49703845, member: 690927"]
Alfu anadhani anafurahisha wengi kumbe anakera sna kwa tabia zake hzo
[/QUOTE]
Huyu mama utopolo Sana, huko handeni mjamzito na mtoto walifariki kisa 150000/-
 
Siujui mkuu lakin najua inaeza kua zaid ya iyo ten
MShahara plus Posho Yes unaweza..
Ila kwa mshahara oeke yake hauwezi kufika 10..

Mbunge mshahara wake ni 4 kama sio 6 ila ukijumlisha na posho ndo tunapata 11 mpaka 14
 
Muhimbili watoto wanalazwa chini hakuna vitanda yeye anakuja kumwaga pesa huku daah
 
Binadamu bhana, kuna maeneo mengi ya kuelekeza hizo fedha kuliko huko kwenye mpira.
Just imagine kuna wenzetu hospital wanapoteza maisha kwa kukosa afu 15 tu,alafu unakuja kushangaa serikali inatoa mamilioni ya fedha kwenye vitu cheap kama mpira🚮🚮.
 
Back
Top Bottom