Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

Ni bora hizo pesa angeelekeza kwenye mfuko wa bima ya afya ya watoto.
Kwenye mipira na miziki si ndy wanapozubaishwa watu
Huko kwenye bima ya afya hali tete.....pesa ziko kwenye magoli tu
Kutoa

Ova
 
Binadamu bhana, kuna maeneo mengi ya kuelekeza hizo fedha kuliko huko kwenye mpira.
Just imagine kuna wenzetu hospital wanapoteza maisha kwa kukosa afu 15 tu,alafu unakuja kushangaa serikali inatoa mamilioni ya fedha kwenye vitu cheap kama mpira🚮🚮.
Wanawazubaisha watu huko

Ova
 
Hela za Magoli wangepeleka Bima ya afya ya watoto ukienda Hospital unaweza kutoa machozi wapo watoto wanakosa matibabu kisa mzazi hana hiyo pesa harafu Wazazi mnachezea hela kwa kuwapa hela ambao wanapata hela wakishinda hizo mechi...
 
Ni bora hizo pesa angeelekeza kwenye mfuko wa bima ya afya ya watoto.
Sasa kaka kwa mfano simba au yanga wakapat goli mbili zitasaidia nini kuna vitu ni kuviacha vipite shida kwa nchi yetu utakufa utaziacha watot wako nao watakufa wataziacha mambo mengine ni kuyaona tu na kuyaacha yapite
 
Kwenye mipira na miziki si ndy wanapozubaishwa watu
Huko kwenye bima ya afya hali tete.....pesa ziko kwenye magoli tu
Kutoa

Ova
Wanatumia michezo na sanaa kisiasa. Kutafuta kiki.

Na watu wanazubaishwa kweli kweli.

Na mpira ndio kabisaaaa wanautumia kisiasa waziwazi.
 
Ni bora hizo pesa angeelekeza kwenye mfuko wa bima ya afya ya watoto.

Ni kwamba tu hamna akili, Yanga watafunga 4, ni sawa na 40m, simba watatoa droo, hawatapa kitu, sasa 40m zitasaidia nini kwenye mfuko wa Bima ya afya?
 
QUOTE="dr namugari, post: 49703845, member: 690927"]
Alfu anadhani anafurahisha wengi kumbe anakera sna kwa tabia zake hzo
Huyu mama utopolo Sana, huko handeni mjamzito na mtoto walifariki kisa 150000/-[/QUOTE]Aseehh
 
Back
Top Bottom