Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
Haya mambo ya vikwazo dhidi ya wawekezaji na uwekezaji ndo mambo ambayo mama hayataki. Naamini kwenye bajeti hii ya mwaka huu wizara za Fedha, Uwekezaji pamoja na ya Viwanda na Biashara , watakuja na Dira mpya ili kufanikisha Dira aliyotoa Mama kwenye hayaTena hao TOTAL, kabla ya kwenda Msumbiji walianzia hapa, vikwazo vikawa vingi mno kama kawaida yetu!!ndio maana juzi mama Samia alitoa maagizo huo mchakato wa LNG, inabidi serikali ifikie uamuzi liishe!!!na tatizo letu wanasiasa ndio huwa wanajifanya kuwa mbele zaidi kuliko wataalam, kutokana na wataalam wengi kutoaminika!!
Wewe unadhani vitalu vya Gesi huko kusini bado havijauzwa? Kikwete alisaini mikataba na WACHINA under certificate of urgency siku za mwisho wa utawala wake. Hujui Mwendazake ndio maana akakasilika kuona walimaliza vitalu akaona na yeye aanzishe mradi wake wa Stiegler's !!
Eti fursa, kwa hiyo wewe ndio unajiona kwamba uwekuwa wa kwanza kulifahamu wakati wenzio mpaka wanakaribia kumalizana?Hoja sio Magufuli. Hoja ni kutumia fursa iliyopo kuleta uwekezaji mkubwa Tanzania
Kwani shida iko wapi?Eti fursa, kwa hiyo wewe ndio unajiona kwamba uwekuwa wa kwanza kulifahamu wakati wenzio mpaka wanakaribia kumalizana?
Huioni?Kwani shida iko wapi?
Niambie weweHuioni?
Wewe unadhani vitalu vya Gesi huko kusini bado havijauzwa? Kikwete alisaini mikataba na WACHINA under certificate of urgency siku za mwisho wa utawala wake. Hujui Mwendazake ndio maana akakasilika kuona walimaliza vitalu akaona na yeye aanzishe mradi wake wa Stiegler's !!
Nani kakwambia Kikwete alimuuzia mchina? Una ushahidi??
Nitajie ni nchi gani Afrika ilishanufaika na ikapata maendeleo kwa sababu ina raslimali! Sana sana naona raslimali zinaleta janga la vita! Unajua Total wamewekeza nini Nigeria? Je wanaigeria unaona wananufaika sana?
Mkuu mbona unasema mambo ya uongo aisee,una uhakika vitalu vyote vishauzwa?unafahamu kama serikali yenyewe kupitia TPDC wanavisima vyao pia?
Nigeria wamenufaika gdp yao inapanda kwa kasi sasa hivi ni no 1 africa . Wamejenga miundombinu mingi na biashara nyingi zimekuwa ikiwemo dangote iliyowekeza miradi mbalimbali africa .Nitajie ni nchi gani Afrika ilishanufaika na ikapata maendeleo kwa sababu ina raslimali! Sana sana naona raslimali zinaleta janga la vita! Unajua Total wamewekeza nini Nigeria? Je wanaigeria unaona wananufaika sana?
Ndo mana hata Mie nimemahangaa sana!Mkuu mbona unasema mambo ya uongo aisee,una uhakika vitalu vyote vishauzwa?unafahamu kama serikali yenyewe kupitia TPDC wanavisima vyao pia?
Mifano ya waliofanikiwa ipo mingi sana. Kikubwa tunaweza tukajifunza kuanzia walipofanikiwa wao na tukafanikiwa zaidi. Mapungufu yao pia tunaweza kuyaepuka pia ili tufanikiwe zaidi.Nigeria wamenufaika gdp yao inapanda kwa kasi sasa hivi ni no 1 africa . Wamejenga miundombinu mingi na biashara nyingi zimekuwa ikiwemo dangote iliyowekeza miradi mbalimbali africa .
Tatizo Ina viongozi mafisadi
Kwani wewe unaamini kuna mzawa anaweza kumiliki kitalu cha gesi na kufanya exploitation?Ushahidi ni kama vile vitalu bado vipo havijauzwa na umiliki wake ukawekwa wazi!! Lakini Mwendazake alikuwa na taarifa ya hali halisi ya huko kusini!!
Unakumbuka jinsi Pro. Muhongo wakati huo waziri wa Nishati alipowatukana wazawa walipoomba vitalu akawambia hawana ubavu wa kumiliki vitalu vya gesi ; na kuwa uwezo wao ni viwanda vya Juisi!!! FATHER OF ALL unaitwa huku ,busara zako zinahitajika.
Kwanini washindwe, inahitaji mtaji kiasi gani kiasi mabilionea wa tz washindwe!?Kwani wewe unaamini kuna mzawa anaweza kumiliki kitalu cha gesi na kufanya exploitation?
Sijaweza kupata for now ila nakumbuka mjadala ulivyokuwaga Bungeni ambapo ilibidi Prof Muhongo atoe ufafanuzi kwa jinsi gani uwekezaji kwenye gesi ulivyo High risks kutokana na kuitaji hela nyingi sana ambazo unaweza ukawekeza na still bado ukakosa kiwango cha gesi kinachotakiwa kwa ajiri ya biashara.Kwanini washindwe, inahitaji mtaji kiasi gani kiasi mabilionea wa tz washindwe!?
Eti fursa, kwa hiyo wewe ndio unajiona kwamba uwekuwa wa kwanza kulifahamu wakati wenzio mpaka wanakaribia kumalizana?
Wacha usumbufu jadili mada, wengine kutangulia kuiona hiyo fursa hakutuzuii wengine kuijadili.Huioni?