Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio walafi, wajinga...bora mlafi kuliko mjinga. Mtu anaingia mkataba unaumiza vizazi na vizazi just bcz yeye na familia yake wameingiza...ndio maana wazungu wanatuona wapumbafu tu. Mwafrika kutumika na wazungu anaona ujiko as if yeye ataishi milele. Wajiulize nyerere angeingia mikataba mibovu wao wangekuta nini.?
Ndivyo unajiliwaza siyo!Nigeria wamenufaika gdp yao inapanda kwa kasi sasa hivi ni no 1 africa . Wamejenga miundombinu mingi na biashara nyingi zimekuwa ikiwemo dangote iliyowekeza miradi mbalimbali africa .
Tatizo Ina viongozi mafisadi
Kwani wewe unaamini kuna mzawa anaweza kumiliki kitalu cha gesi na kufanya exploitation?
Mkataba wako na mwenye nyumba ulishaawahi kuuweka waziUshauri mzuri, muhimu kwenye mikataba ndio tuwekwe wazi isifichwe, hao jamaa wa TOTAL kama watakuja watafanya mengi kwa serikali yetu ikiwemo kulipa kodi lakini hata kwa watanzania naamini watatoa ajira na kuongeza mzunguko wa pesa.
Lakini tatizo la viongozi wetu waliopita ni kutokuwa waaminifu wanaposaini hiyo mikataba, wamekuwa wanafanya hivyo kwa kuangalia maslahi yao binafsi zaidi ya watanzania kwa ujumla kitu ambacho sio sahihi.
Hapa ningeshauri tu kwasababu nia ya kurudisha imani ya wawekezaji tunayo, basi tuanze safari mpya sasa, serikali ya Samia itengeneze njia ambayo itakuwa somo kwa viongozi wengine wajao kwa kuweka siri terms za kwenye hiyo mikataba wananchi waione, kwasababu hizo resources ni mali ya watanzania, sio viongozi wa serikalini.
Hii aione Waziri wa UwekezajiUshauri mzuri, muhimu kwenye mikataba ndio tuwekwe wazi isifichwe, hao jamaa wa TOTAL kama watakuja watafanya mengi kwa serikali yetu ikiwemo kulipa kodi lakini hata kwa watanzania naamini watatoa ajira na kuongeza mzunguko wa pesa.