Rais Samia, kuna Fursa ipo kwetu kwenye Uchumi wa Gesi, ichangamkie haraka

Kumbukeni hapo nyuma Zanziba nayo ilisema suala la mafuta na rasilimali zitolewe kwenye Muungano ambapo ilionekana pia ni ubinafsi uliopitiliza na vyote vikatolewa sasa kweli yatafanyika katika kipindi hiki?
 
Tatizo la Africa ni watawala walafi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Sio walafi, wajinga...bora mlafi kuliko mjinga. Mtu anaingia mkataba unaumiza vizazi na vizazi just bcz yeye na familia yake wameingiza...ndio maana wazungu wanatuona wapumbafu tu. Mwafrika kutumika na wazungu anaona ujiko as if yeye ataishi milele. Wajiulize nyerere angeingia mikataba mibovu wao wangekuta nini.?
 
Nigeria wamenufaika gdp yao inapanda kwa kasi sasa hivi ni no 1 africa . Wamejenga miundombinu mingi na biashara nyingi zimekuwa ikiwemo dangote iliyowekeza miradi mbalimbali africa .

Tatizo Ina viongozi mafisadi
Ndivyo unajiliwaza siyo!
 
Kwani wewe unaamini kuna mzawa anaweza kumiliki kitalu cha gesi na kufanya exploitation?

Hao wanaomiliki vitalu na kufanya exploration wanafanya kipya gani kitakachomshinda mzawa mwenye akili zake kufanya ili afanikishe? Acha kujidharau, fungua akili yako, ninyi ndio mnao tumiwa na wazungu kutuibia kwasababu you lack confidence!!
 
Mkataba wako na mwenye nyumba ulishaawahi kuuweka wazi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Hii aione Waziri wa Uwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…