Rais Samia: Kuna Mabalozi hawajui wanachokifanya, wapo tu

sasa raisi, tukusaidiaje hapo? au unatafuta sympathy baada ya bandari kunuka?
 
Wanafanana na wewe
 
aliye wateua ndio ana matatizo
mwenye dhamana ya kuwatoa na hawatoi ndio mwenye matatizo

kifupi yeye ndio mwenye matatizo kuliko hao mabalozi wenyewe
 
Arudishe Bandari yetu kwanza ndo akapambane na hao mabalozi, like father like son
 
Kwa ccm hii watu wanapewa ubalozi bila kuzingatia vigezo, so asiwalaumu:
1. Zawadi, kulipa fadhila.
2. Moto wa mwenzetu au mkubwa fulani.
3. Kimada/hawara.
4. Kumsukuma mbali mtu hatarishi/ anayetishia nafasi ya kisiasa ya mkubwa fulani.
5. Kumnunua mpinzani.
Etc,etc.
 
Sasa mtu anatoka kuwa polis, hata p.g.o. hajui, halafu unampa ubalozi unategemea nini?
 
Atakuwa lepolepo huyo analiwa timing, rumors has it yupo behind na watuhumiwa wa treason.
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

My take.
Muda si mrefu tutasikia Tanzania yashindwa kesi na DP world yatakiwa kulipa trillioni 15.

Njia mpya iliyobuniwa na wajibu ndani ya serikali kuchota kodi za walala hoi, unasaini mkataba wa kijinga ambao ni kichaa tu anayeweza kuuvumilia alafu ukiulizwa unasema tumeshindwa kesi tulipeni tu.
 
Mambo ya mabalozi kwa sasa sio ishu. mkataba wa Bandari ndio habari! Tanzania ya leo kuna "wahaini" duuuuuh!
 
They are vindicating her weaknesses and her remarkable ineptitude. How do you appoint a person to a sensitive post, with no thorough vetting? Rubbish
 
Balozi Nigeria na sakata la Padri Kutekwa
 
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ni Jumuiya ya Kiuchumi yenye nchi wanachama 16;
Angola,
Botswana,
Comoro,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
Eswatini,
Lesotho,
Madagascar,
Malawi,
Mauritius,
Msumbiji,
Namibia,
Shelisheli,
Afrika Kusini,

needless to say
Jamhuri ya Muungano Tanzania,

Zambia

.... na Zimbabwe

Tuwekeeni hao mabalozi waliopo huko sasa, SSH keshaanika....Mmoja wao hakidhi matakwa au ana mapungufu....'aah' in SSH voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…