Rais Samia: Kuna Mabalozi hawajui wanachokifanya, wapo tu

Mnapeleka wazee waliostaafu, muda wa kupumzika nyie mnawapa kazi tena halafu mtegemee ufanisi kwenye kazi loooh!🥱
Yaani najiuliza hivi kweli tupeleke waliokaribu na kupumzika ndo wakweli active? Harafu tunajiuliza eti wapo wapo tu!
 
Nasikia wakisha teuliwa na Rais huwa wanapigwa msasa wa kidiplomasia kwa miezi mitatu pale chuo Cha Deplomasia Kurasini! Ngombe analazimishwa kunenepa siku ya mnada!![emoji1][emoji2][emoji1787]
 
Mojawapo ni yule Balozi aliyetenguliwa Brazil.

Rais Yuko sahihi wengine wanachakalika kutafuta soko nk ila wengine wapo wapo tuu.

Mh.Rais naomba Mimi hiyo Kazi kwenye Nchi yeyote kasoro Urusi nikufanyie kazi na nifanyie kazi Nchi yangu.
Ok kuna nafasi Sudani, vp uko tayari kwenda tupeleke jina lako kwa Mama!!?
 
Sasa analalama ni wakati ni yeye mwenyewe anawateua kishikaji
 
Hata wakuu wa wilaya wengi na mikoa hawajui kazi zao
 
Mkuu haya mambo hajijengi siku moja wala hayaji yenyewe. Ngoja nikupe mfano. Unapotokea wizi wa kura na rais na baadhi ya wabunge wakapata nafasi kwa wizi wa kura vijana wanaona na kuelewa kilichofanyika. Unapotokea mkataba mbovu kama huu wa bandari na ukatetewa na viongozi kwa nguvu bila hoja vijana wanaona na kuelewa kinachoendelea. Sasa vijana wa aina hiyo hata wakipewa nafasi hawatawatii wale waliowateua kwa sababu wanajua tabia zao. Kwa kifupi mwizi au mzazi mwenye tabia mbaya mtoto wake atamdharau na hatamtii au atamwonyesha utii wa kinafiki. Hili ndilo linalotukuta. Huwezi kupata cream nzuri kwenye society kama yetu unless viongozi wetu waanze kubadilika wao.
 
Mambo ya mabalozi kwa sasa sio ishu. mkataba wa Bandari ndio habari! Tanzania ya leo kuna "wahaini" duuuuuh!
Kwa hiyo ni Mkataba wa Bandari tu watu wasijadili mambo mengine? Hao Dp world wamekuchanganyeni kweli kweli inaonyesha hata munapolalla munawaota
 
Bandari zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure!!!

Kununua bandari zetu ni sawa na kununua UPUPU na kujipaka ukidhani ni PAWDER, hakutalalika!!!

Kataa wahuni!!!
Mbona tayari hizo zimeenda
 
Nasikia wakisha teuliwa na Rais huwa wanapigwa msasa wa kidiplomasia kwa miezi mitatu pale chuo Cha Deplomasia Kurasini! Ngombe analazimishwa kunenepa siku ya mnada!![emoji1][emoji2][emoji1787]
Ni matumizi mabaya ya Rasilimali cos kuna watu wengi wanaujuzi wao na wangeweza kutoa mchango chanya Kwa taifa, inasikitisha
 
Thubuutuu!!

Mwiba umekwaa kooni, kutapika ndo only choice!!
DP wameshatupiga tukubali tu, maana kuvunja Mkataba ni gharama sana afadhali zowezi liendelee huku tunagugumia maumivu ya kupigwa!!
 
DP wameshatupiga tukubali tu, maana kuvunja Mkataba ni gharama sana afadhali zowezi liendelee huku tunagugumia maumivu ya kupigwa!!
Si Kweli, mapungufu ya contract hiyo ni makubwa mno, tukiwa na Nia ya dhati hata 100 hatutolipa tukivunja.

Kwa Mfano unaelewa nini kiongozi wetu kusaini Kwa niaba ya Tz na DP world Dubei? Hapo Kuna mkataba?
 
Tatizo Sheria za kimataifa ndiyo zinatumika na si Sheria zetu hapa Tz!!
 
Tatizo Sheria za kimataifa ndiyo zinatumika na si Sheria zetu hapa Tz!!
Wapi, ni Rahisi tu, Bunge linabatilisha tu asimio lake kuomba mchakato uanze UPYA, biashara iishie hapo.

Ugumu ni rupia ilopenyezwa, Si kingine chochote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…