Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ni dalili ya kuzidiwa na mambo na kukata tamaa.
Maji shingoni, huku CHAWA wanamdanganya ya kuwa mitano Tena, ni ukichaa kusema mitano ,WAKATI MITATU INAMWANGAISHA 🤣🤣🤣🤣😅😅😅 TETEE TETEE TETEE🤣🤣😅🤣😅 Mama Mbwa MPUMBAVU 🤸🤸🤸
 
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.

Yaani sasa kila Kitu Kipya kinaitwa Samia .... akina Lukas na MACHAWA wengine itabidi sasa muanze kuwapa Watoto wetu Mnzaowazaa jina la Samia ili kumridhisha Maza.
 
Kama vipi Hawa uchwara wafanye collabo Moja ya "chura kiziwi featuring Mwana_Fatuma" na waiite "mbwa mpumbavu"
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema Mbwa ni mnyama anayefugika na kukulinda lakini Chawa anakunyonya Damu

Karume anesema hakunaga Chawa royal lakini Mbwa ni royal

Amezungumza Ukurasani X

Kwako Lucas 😂😂
Mjukuu ana chuki na wapemba, kawazidi pakubwa, wao walikuwa mkuu wa mkoa, mpemba kawa rais kamili
 
1000032526.jpg
 
Sijui atakuwa ametumia kigezo gani kuwaita wenzake ni mbwa wapumbavu, labda yawezekana yeye ni nguruwe mwerevu. Na nguruwe mwerevu ni yule anayewala watoto wake , huku waliosalia wakizidi kumsogelea mama yao wakiamini anawapenda, wakati ni suala la muda tu na wao wafikiwe.

Ulimwengu utakuwa ni mahali pazuri kwa kila mmoja, siku ambayo wagombea hao watakapotambua kuwa wote ni wana wa Mungu, na aliyewaumba akawapa fikra na upeo tofauti, alikuwa na sababu za msingi kuliko wao wanaopenda wanadamu wote wakubaliane katika yote, kwenye mema na mabaya.
Kunywa maji baridi ushushe munkari, la sivyo mishipa ya fahamu yaweza kupasuka. Maisha ndiyo haya haya
 
Kwa hiyo sasa hivi hatuna shida kubwa?
😂 😂 😂 Aisee
Nyie mliokuwq mnaishi kumtegemea mwanadamu ndiyo mna shida toka alipokufa Machi 2021. Vunja matanga jishughukishe na uzalishaji mali, fursa zipo kibao. Mzee wa Chato hafufuki kamwe
 
Back
Top Bottom