Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Kada kabofoa leo
Maji shingoni, huku CHAWA wanamdanganya ya kuwa mitano Tena, ni ukichaa kusema mitano ,WAKATI MITATU INAMWANGAISHA 🤣🤣🤣🤣😅😅😅 TETEE TETEE TETEE🤣🤣😅🤣😅 Mama Mbwa MPUMBAVU 🤸🤸🤸Hii ni dalili ya kuzidiwa na mambo na kukata tamaa.
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.
katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Mjukuu ana chuki na wapemba, kawazidi pakubwa, wao walikuwa mkuu wa mkoa, mpemba kawa rais kamiliMjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema Mbwa ni mnyama anayefugika na kukulinda lakini Chawa anakunyonya Damu
Karume anesema hakunaga Chawa royal lakini Mbwa ni royal
Amezungumza Ukurasani X
Kwako Lucas 😂😂
Kunywa maji baridi ushushe munkari, la sivyo mishipa ya fahamu yaweza kupasuka. Maisha ndiyo haya hayaSijui atakuwa ametumia kigezo gani kuwaita wenzake ni mbwa wapumbavu, labda yawezekana yeye ni nguruwe mwerevu. Na nguruwe mwerevu ni yule anayewala watoto wake , huku waliosalia wakizidi kumsogelea mama yao wakiamini anawapenda, wakati ni suala la muda tu na wao wafikiwe.
Ulimwengu utakuwa ni mahali pazuri kwa kila mmoja, siku ambayo wagombea hao watakapotambua kuwa wote ni wana wa Mungu, na aliyewaumba akawapa fikra na upeo tofauti, alikuwa na sababu za msingi kuliko wao wanaopenda wanadamu wote wakubaliane katika yote, kwenye mema na mabaya.
Nyie mliokuwq mnaishi kumtegemea mwanadamu ndiyo mna shida toka alipokufa Machi 2021. Vunja matanga jishughukishe na uzalishaji mali, fursa zipo kibao. Mzee wa Chato hafufuki kamweKwa hiyo sasa hivi hatuna shida kubwa?
😂 😂 😂 Aisee