Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club...
Atakuwa anawasema wakenya ndio wenye wivu na maendeleo ya Tz
 
Watu tuache unafki, hata angekuwa Magu bado mngesema hivihivi..,
 
Inaweza kuwa kweli amejuaje kuna mbwa wanabweka.
 
Mkuu labda wewe ni La Saba B. Hiyo ni methali/ nahau tu. Usichulie serious san...
Watu wakianza kumwambia nahau kama hizo avumilie asije akawatumia wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…