John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
''Kupotea tulikopotea ni kupotea kukubwa."Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Kufufua mahusiano ni hatua ya kwanza, unafuatia mjadala wa namna za ushirikiano za kutengeneza uchumi mzuri.
Huwezi kumkwepa mgeni hata siku moja, akili mbili tofauti zinapounganika zinafanya kitu cha maana.
SSH anaweza kuondoka akifanya makubwa kuliko watangulizi wotano walioongoza nchi kabla yake.
Kupiga pesa hata wakati ule kina Makonda na Sabaya walizipiga sana japo habari hazikuwekwa wazi.Weweeeh hawezi kumfikia Chuma ambae aliweza kudhibiti mpaka mishahara hewa...Alikamata Mali za Uma na kukemea waziwazi wahusika alijua kufariji watanzania kwemye janga La Korona.
Hakika hakuna kipindi watu wanazipiga pesa kama asaivi...mpaka wanamiliki Timu za Mpira.