John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
''Kupotea tulikopotea ni kupotea kukubwa."Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?