Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kufufua mahusiano lakini huwezi kijenga uchumi Imara Kwa rasilimali zako...we una kuza mahusiano Kwa ajili ya kutembeza bakuli ili kuomba fedha.Hotuba hazimfanyi rais akaonekana anatosha kuwa ikulu. Wapo wenye uwezo wa kuweka data majukwaani lakini hawana uwezo wa kufufua mahusiano ya kimataifa kati ya TZ na nchi zilizoendelea,
Hatujasema serikali inunue matrekta, bali serikali itumie pesa kwa makini kwa kuachana na matumizi yasiyokuwa ya lazima ili kupunguza mikopo. Ni aibu kwa serikali kuwanunulia maofisa wake magari ya kifahari kwa hela ya kukopa, ambapo maofisa wa serikali zinazotukopesha hawatumiii magari kama hayo.Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Mama kwani ni uongo ungewanunulia, hata Klugger tu m bona inafika huko kwenye miradi? Just 25m kuliko hizo gari 300m tunahumia, sana. Aidha tunakuongezea, ubuyu kuwa Mwigulu ameiba sana, pesa za, serikali na kuanzisha, timu na, kununua, mabasi mengi yanaitwa, Easter. Mama tafadhali sisi tunasema ukweli tupu. Pesa inaibiwa, nyingi sana.Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
SononaAlhamduliLlah, cha kunikosesha furaha kipi zaidi? Kumbuka mimi ni Muislam.
Kufufua mahusiano ni hatua ya kwanza, unafuatia mjadala wa namna za ushirikiano za kutengeneza uchumi mzuri.Unaweza kufufua mahusiano lakini huwezi kijenga uchumi Imara Kwa rasilimali zako...we una kuza mahusiano Kwa ajili ya kutembeza bakuli ili kuomba fedha.
Vijana kama wewe huwa tunawaombea dua tu, kiza kiwatoke, nuru ya Uislam iwaingie. Huwa mnakuwa Waislam wazuri sana.Sonona
Natamani sana kuwa Muislamu, sijajua taratibu za kufuata tu. Kwa sasa naishi kwa imani zangu za jadi tu.Vijana kama wee huwa tunawaombea dua tu, kiza kiwatoke, nuru ya Uislam iwaingie. Huwa mnakuwa Waislam wazuri sana.
Hakuna taratibu ya kufata, ni kushahadia tu mbele ya mashahidi japo wawili.Natamani sana kuwa Muislamu, sijajua taratibu za kufuata tu. Kwa sasa naishi kwa imani zangu za jadi tu.
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
SarcasmUWewe siyejijuwa, nani alikudanganya "nchi hii" ni masikini?
Kama Masikini ni wewe ambae unakula data unaingia mitandao ya kijamii kuandika pumba, sijuwi hao matajiri wakoje.
Mwache ahamie tu,, hakuanza yeye wapo wengi waliohamaTundu Lisu njia panda CCM au ACT Wazalendo
Ulale Unono 😃😃
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
NonsenseRais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV
Pia, soma: Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?
Wewe mwenyewe unajua.AlhamduliLlah, cha kunikosesha furaha kipi zaidi? Kumbuka mimi ni Muislam.