Nimecheke hadi basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hili jina Hangaya nyuma yake linabeba maana gani? Isije likawa na maana ya anayezurura, kutangatanga ama kutokutulia sehemu moja. Maneno ama speli za kichawi huumba tabia! Nyie watani zangu Wasukuma shauri zenu, oohoo!
Mkuu usikifananishe kiazi mbatata na vitu vya kijinga,ujue tunakitumia kupika chips tunakula na kushushia na peps,sasa huyu tutampeleka wapi jamani wapishiHutaelewa ata ukipewa point gani. Maana wewe ni kiazi mbatata hasa
TouristMama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
JK na utalii wake ndiye aliyejenga MOI, ndiye aliyeanzisha mradi wa mwendo kasi. Kafanya mengi sana lakini kwa kukosa kwetu shukrani huwa tunashambulia yale madhaifu machache ya awamu yake.JK alikuwa mtalii number moja, lakini mpaka anamaliza mihula yake yote miwili, nchi ilikuwa inaona mtihani hata kulipa mishahara na marupurupu ya civil servants tu. Trust me, hii hali yetu ya kuwa mateja wa misaada ndiyo itakayoendelea kutubakiza hapa hapa tulipo!
Pambana mama acha wanaojifungia ndani wabwate huyu mama atakuwa mchagga maana hiyo kabila haijifungii ndani na inamaendeleo sanaHata kama ndio kufungua Nchi hii speed imezidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi hajatoa hata tamko au kuwawekea Russia vikwazo? If not hata kupeleka majeshi pale kumuunga mrusi mkono maana sijajua tupo upande ganiKatibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC
Riziki ya mtu ipo kwa mtu. Ukiweza kuwapa watu riziki na mioyoni mwao wakakushukuru, Mungu anakuongezea fungu lako la baraka.Hawa walinzi wake wasipojenga maghorofa mbweni na Goba basi hawatajenga tena maishani
Wanaofaa kuongoza nchi wanakuwa na sifa zipi?.Hawa watu wa ukanda wa Pwani ya nchi yetu ni bure kabisa. Ni uswahili na umbea kwa kwenda mbele. Hawafai kuongoza nchi hawa!
JK na utalii wake ndiye aliyejenga MOI, ndiye aliyeanzisha mradi wa mwendo kasi. Kafanya mengi sana lakini kwa kukosa kwetu shukrani huwa tunashambulia yale madhaifu machache ya awamu yake.
Hakuna rais wa TZ ambaye anao uwezo wa kumfurahisha kila raia wake. Kila rais anayo makosa yake hivyo hakufaa kabisa kuwa pale Ikulu, lakini ni kwa mujibu wa fikra zetu zilizojaa ukosoaji.
Hiyo ability ya kutengeneza pesa hutegemea misingi ya pesa na maarifa ya shuleni.What matters is the ability to make money, not the ability to spend money!
mama anafuta kisahani.Hata kama ndio kufungua Nchi hii speed imezidi🤣🤣🤣
Dah!...unamuonea choyo au?....Hivi mme wake anamuruhusu kusafiri hivo? Basi ni mwelewa hana shida.
Tunaomba arudi na wanyama au mbuga/safari waliyoanzisha waharabu uko kwao kutokana na wanyama walioibwa kipindi cha JK na nyarandu 2010, wanyama species zaidi ya 116waliibwa toka mbuga zetu wametengeza mbuga zao uko United Arabs technically watalii watapungua sana kwa ufara na rushwa ya hawa viumbe JK na nyarandu wameangamiza taifa kwa makusudi kabisa.Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC
Huyu mama anapenda safili Sana aiseeKatibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC
Hiyo ability ya kutengeneza pesa hutegemea misingi ya pesa na maarifa ya shuleni.
Mdogo mdogo tutafika, Roma haikujengwa ndani ya siku moja.
Jk ndio alijenga MOI?JK na utalii wake ndiye aliyejenga MOI, ndiye aliyeanzisha mradi wa mwendo kasi. Kafanya mengi sana lakini kwa kukosa kwetu shukrani huwa tunashambulia yale madhaifu machache ya awamu yake.
Hakuna rais wa TZ ambaye anao uwezo wa kumfurahisha kila raia wake. Kila rais anayo makosa yake hivyo hakufaa kabisa kuwa pale Ikulu, lakini ni kwa mujibu wa fikra zetu zilizojaa ukosoaji.
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC