Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Hivi mme wake anamuruhusu kusafiri hivo? Basi ni mwelewa hana shida.
 
Wewe unafikiri ana akili huyo. Akili yake imeshikiwa na makamba. Ni chawa wa January, wapo vijana wengi sana humu JF wameuza utu wao....
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Badala ya kurudi Tz si angepitia huko huko?
Hizi gharama kuzurura na ujumbe wake mkubwa ni gharama sana
 
Aende tu, ikiwezekana abaki huko huko. Hakuna atakayejali. Huku JK si yupo, ataendelea kuendesha nchi kwa remote.
 
Mliokuwa mnamuita JK, Vasco Da Gama Sasa muoneni mrs Christopher Columbus
 
Komredi kuhusu gharama nakukumbusha utawala uliopita ulitoa mathalani BILIONI 1 kuipa timu ya taifa ya vijana.....

Serikali ina matumizi mengi...hupangwa vyema na miongoni mwao ni hizo safari.....
Comrade Jumbe nimetoka kunywa bia rainbow muda huu, kichwa hakipo sawa naomba kesho tujadili hili suala kwa upana zaidi tuje na makadilio maana hapo umesema bilioni ila mama bajeti yake ni mabilioni hivyo tuombe kukuche salama kesho tuje na facts kabisa..
 
Aende tu, ikiwezekana abaki huko huko. Hakuna atakayejali. Huku JK si yupo, ataendelea kuendesha nchi kwa remote.
Huyu inasemekana ndio anapiga dili chafu za madini kwa ndege ya raisi haya ngoja tuone maana inaweza kuwa tuna maraisi wawili..

Hangaya Chifu na Mr. Smile..
 
Aende tu, ikiwezekana abaki huko huko. Hakuna atakayejali. Huku JK si yupo, ataendelea kuendesha nchi kwa remote.
Duuh mkuu kila uchao mchango wako juu ya mh.SSH ni kumponda tu....kwako hana jema wala zuri 😳🤣🤣
 
🤣🤣
Ok mkuu alamsiki... kapumzike kaka kwani kichwa kimeshajaa ganzi

🤣
 
Huyu mupe wali huyu mupe dona
 
Akirudi na vijisenti,aangalie namna vinavotumika kwa usahihi na siyo awaachie tu wadau,wajipimie.Wale ambao hatuna vitengo serikalini,tunazikosa hizo hela,Matokeo yake matabaka yanazidi kuongezeka mitaani.
 
Miaka sita ya Magufuli hakwenda huko Ulaya wala kusafiri safiri nje ya nchi, kwa point yako hii nilitegemea hizo changamoto ulizozisema zingekuwa vimeshatatuliwa..

Vipi kuhusu ukarabati wa shule?? Tunaona kila shule imepata madarasa mapya, kwanini yule aliyekuwa hasafiri alishindwa?
 
Kabudi anakwenda na Maza?

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu

Ohoo Kabudi nimemvuta Ikulu awe baba mikataba Mikataba ya Ubeljiji na Ufaransa ndugu zangu mlimwona Kabudi?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…