The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mabilioni unayajua? Haya baada ya kurudi alicho secure no sawa na alichotumia? Hivi huwa mna reason au?Ile zile gharama za timu nzima ni kubwa mno, unatambua ya kwamba yeye binafsi gharama za kwenda ziara kule france na belgium ametumia zaidi ya milioni 250M hapo timu aliyosafiri nayo ambapo ukijumlisha hapo ni mabilioni kadhaa...
Hiyo pesa ni nyingi sana ingetosha kujenga vituo vya afya kadhaa hapa nchini ama kununua vitanda vya wagonjwa, wakati mwingine tuwe fair basi maana hata hatatulia safari nyingine imewadia tena…