nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Nje ya kuimarisha diplomasia hawa watu pia wana wajibu wa kuhakisha wanatafuta wawekezaji wa kuja kuwekeza nchini hasa katika sekta ya viwanda.Ndio maana nakwambia utapiamlo umeharibu akili yako..
Kwa hiyo balozi anaweza wapa uhakika investors, unadhani Tzn/Africa ni Ulaya?
Umewahi kumuona balozi ameongozana na wafanyabiashara?Hiyo status huwa ni ya Rais,PM na pengine Waziri wa Foreign Affairs Duniani kote.Unaelewa sababu?
Tupe mfano wa Balozi aliyeleta investors hususani kwenye serikali ya Mwendazake.
Mfano mzuri ni balozi wetu anayewakilisha katika nchi ya china alifanya kazi nzuri ya kuvutia wawekezaji.
Sasa ngonjera hata bila raisi kuonekana huko hakuna wawekezaji wataokuja hapa hujui mabalozi ni wawakilishi wa raisi katika nchi husika?
Siku nyingine ficha ujinga wako