Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Pamoja na uzurulaji wake hali ni mbaya kuliko alivyoikuta.
Hali hiyo ni mbaya wapi? Usidhani kwa kushikishwa ukuta wewe ndio mbaya kwa wote.

Mbaya sio? 🤭🤭

Screenshot_20220223-124845.png

Screenshot_20220223-125105.png

Screenshot_20220223-125045.png

Screenshot_20220223-125008.png

Screenshot_20220223-124751.png
 
Fafanua hapa why aende yeye na sio kumtuma balozi anayesimamia ukanda huo kutembelea exhibition hiyo? Vipi na yeye ameweka booth huko?
Hawezi kujibu hili swali zaidi ya kuja personal attacks tu,.
 
Fafanua hapa why aende yeye na sio kumtuma balozi anayesimamia ukanda huo kutembelea exhibition hiyo? Vipi na yeye ameweka booth huko?
Ndio maana nakwambia utapiamlo umeharibu akili yako..

Kwa hiyo balozi anaweza wapa uhakika investors, unadhani Tzn/Africa ni Ulaya?

Umewahi kumuona balozi ameongozana na wafanyabiashara?Hiyo status huwa ni ya Rais,PM na pengine Waziri wa Foreign Affairs Duniani kote.Unaelewa sababu?

Tupe mfano wa Balozi aliyeleta investors hususani kwenye serikali ya Mwendazake.
 
Hivi hili jina Hangaya nyuma yake linabeba maana gani? Isije likawa na maana ya anayezurura, kutangatanga ama kutokutulia sehemu moja. Maneno ama speli za kichawi huumba tabia! Nyie watani zangu Wasukuma shauri zenu, oohoo!
Hangaya = hangaika (zurura) bila haya
 
Usikute tunahangaishwa na ka Stive Nyerere bila kujua😅.
Hawa ndio wapambe na washauri wa mama gharama za kumtoa Raisi huku na timu yake kwa ndege ya kukodi, gharama za maradhi ni kubwa mno? Kwanini asingemuachia balozi wa ukanda huo kutembelea na kutuma ripoti ama kazi za balozi zetu ni nini?

JPM alishalizungumzia hili sana kama kuna haja ya yeye kushirikia kila maenesho basi kusingekuwa na unuhimu wa kufungua balozi katika mataifa ya wenzetu.
 
Kula bata ngoja ale ila kinachoniuma ni gharama zake binafasi na timu anayokwenda nayo pesa nyingi zinavuja kupitia hizi safari za kufanya utalii.

Mpaka kuja kutoka ikulu atakuwa katembea dunia nzima, najiuliza tu briefing anazipitia muda gani?
Alikuwa kwetu Ngara jana, unadhani hakuna wa kumpa briefing?.
 
Hali hiyo ni mbaya wapi? Usidhani kwa kushikishwa ukuta wewe ndio mbaya kwa wote.

Mbaya sio? 🤭🤭

View attachment 2128894

View attachment 2128895

View attachment 2128896

View attachment 2128897

View attachment 2128898
Sasa kinachokufanya umponde JPM ni kipi ikiwa yote haya unayopost amehusika kwa asilimia zaidi ya 80?

Tunakuuliza, kwanini SSH aende mwenyewe kwenye maonyesho hayo ilhali ana wasaidizi wake? Umeshindwa kujibu badala yake unaleta hoja za kushikishwa ukuta, tukusaidie nini kama unashikishwa??
 
Hawa ndio wapambe na washauri wa mama gharama za kumtoa Raisi huku na timu yake kwa ndege ya kukodi, gharama za maradhi ni kubwa mno? Kwanini asingemuachia balozi wa ukanda huo kutembelea na kutuma ripoti ama kazi za balozi zetu ni nini?

JPM alishalizungumzia hili sana kama kuna haja ya yeye kushirikia kila maenesho basi kusingekuwa na unuhimu wa kufungua balozi katika mataifa ya wenzetu.
Balozi wetu UAE almost sawa na Rais wa JMT.
 
Back
Top Bottom