kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
Nami piaNasoma comments tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami piaNasoma comments tu
Akifungwa speed limit watu watakufa njaa humu nchini na malalamiko ndio yataongezeka.Nani atamfunga paka kengele?
Mama afungwe speed limit.
Upeo wako kwenye masuala ya kimataifa unaonekana ni mdogo sana.Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
Bila shaka atarudi na pesa na huko.Safari njema.
Yaani ni awamu ile, wahuni walimpangia safari JK ya mwaka mzima, anakaa huko wiki 2 akirudi anazuga ziara ya kikazi mkoa mmoja ama 2 anatoweka tena hivyo hivyo.imekuwa kama awamu ile... ye ni kuzurura tu.
Alijaribu Ndugai yaliyomkuta kila mmoja anayajua....na vile Mama hapendi kusutwa ndio kabisa.Nani atamfunga paka kengele?
Mama afungwe speed limit.
Hali mbaya inabidi watoto watunzwe na kula kwa jirani mpaka maisha ya familia yatakapotengemaa siyo?Mama nenda katutafutia wanao chakula,humu ndani majungu na usisahau mambo ya kazi nje ya nchi
Huenda anapangiwa safari kimkakati labda(labdaaa).Yaani ni awamu ile, wahuni walimpangia safari JK ya mwaka mzima, anakaa huko wiki 2 akiridi anazuga ziara ya kikazi mkoa mmoja ama 2 anatoweka tena hivyo hivyo.
Na huyu mama mtindo ndio huo huo.
Tusubiri tuone.
Mbona hakuna taarifa rasmi Ikulu?Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
🤣🤣🤣Cc hater nyboma
Umewahi ona wapi Samia anafanya ziara za hasara kama Mwendazake?Wewe jamaa hadi aibu kuombea mama kuludi na hela. Hivi kweli kwa akili tu ya kawaida unazani kuna hela za bure uko anakoenda? Si bora ungesema analudi na wawekezaji
Pamoja na uzurulaji wake hali ni mbaya kuliko alivyoikuta.Akifungwa speed limit watu watakufa njaa humu nchini na malalamiko ndio yataongezeka.
Hahaha nadhani wewe ni zao la zile division four za 28 za kipindi kile cha JK.Umewahi ona wapi Samia anafanya ziara za hasara kama Mwendazake?
Aibu gani unayoisemea wewe? Pesa ni za mkopo na kama ni msaada ni jambo la Nchi husika kujiskia kutoa kwa sababu za urafiki nk..
China alipotoa msaada wa kujenga Tazara na Sasa kajenga Chuo cha Uongozi cha ccm umempa nini?
China huyo huyo kajenga Makao Makuu ya AU hapo Addis Ababa,walidai nini?
Mwisho,Rais kaenda Ufaransa si tuu karudi na connection za wafanyabiashara bali na pesa za mkopo na msaada juu.
Huko anakoenda ni sehemu ya jukwaa la biashara kwa hiyo inategemeana atakutana na makundi gani.
Wewe kwa akili yako umeona Serikali ya Samia ina struggle kutekeleza miradi iliyomtoa makamasi Mwendazake?