Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Mama atupakie kinyamela majobless kadhaa kwenye mwewe atuache Dubai atapunguza idadi ya majobless mhuni.
 
Mkuu hutaki mama ale bata??
Kula bata ngoja ale ila kinachoniuma ni gharama zake binafasi na timu anayokwenda nayo pesa nyingi zinavuja kupitia hizi safari za kufanya utalii.

Mpaka kuja kutoka ikulu atakuwa katembea dunia nzima, najiuliza tu briefing anazipitia muda gani?
 
Haya maonesho mama anayoenda kushiriki yana faida gani kwetu?
Kabla ya kuhoji ungetumia bichwa lako kuyafuatilia..

Hayo ndio maonesho makubwa kabisa ya biashara na teknolojia Duniani,kila Nchi inayatumia kutafuta fursa na tuna Banda letu kule.

Marais wengi wameenda kujinadi Huko Ili kuvutia biashara,pia hayo maonyesho hufanyika kwa miezi 6 mfululizo.
 
Kula bata ngoja ale ila kinachoniuma ni gharama zake binafasi na timu anayokwenda nayo pesa nyingi zinavuja kupitia hizi safari za kufanya utalii.

Mpaka kuja kutoka ikulu atakuwa katembea dunia nzima, najiuliza tu briefing anazipitia muda gani?
Wapambe wake wa humu watakwambia, Safari zake hazina gharama yoyote na zina faida kwa watz.
 
Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?

Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
Wewe ni mjinga umebeba boga sio kichwa 🏃🏃.

Michadema ni useless, yaani unasahau kwamba hata maonyesho yetu madogo kabisa ya sabasaba huwa tunaalika Rais wa Nchi jirani kuyafunga au kufungua kutegemea wa kwetu alifunga au kufungua.
 
Kabla ya kuhoji ungetumia bichwa lako kuyafuatilia..

Hayo ndio maonesho makubwa kabisa ya biashara na teknolojia Duniani,kila Nchi inayatumia kutafuta fursa na tuna Banda letu kule.

Marais wengi wameenda kujinadi Huko Ili kuvutia biashara,pia hayo maonyesho hufanyika kwa miezi 6 mfululizo.
Balozi wetu alikuwa anatosha kabisa, kwa mfano kuna maonesho makubwa tu hufanyika kule Namibia na tukawakilishwa vizuri kabisa na balozi wetu comrade Kipilimba.

Mama hasa anaenda kufanya nini? Yaani kila kitu yeye yumo tu? Embu shughulisha hicho kichwa chako vizuri
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Sawa tu ngoja tu ngoja tunasubiri hao wawekezaji
 
Ikulu hapakaliki, mzilankende anamtesa sana huyu mama. Inamaana serikali imekosa kabisa namna ya kumsaidia?? Sasa atatafuta mianya ya safari hadi lini?

Anatamani siku moja iwe sawa na mwaka mmoja ila ndohivyo haiwezekani.
🚮🚮
 
Back
Top Bottom