Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Ile zile gharama za timu nzima ni kubwa mno, unatambua ya kwamba yeye binafsi gharama za kwenda ziara kule france na belgium ametumia zaidi ya milioni 250M hapo timu aliyosafiri nayo ambapo ukijumlisha hapo ni mabilioni kadhaa...

Hiyo pesa ni nyingi sana ingetosha kujenga vituo vya afya kadhaa hapa nchini ama kununua vitanda vya wagonjwa, wakati mwingine tuwe fair basi maana hata hatatulia safari nyingine imewadia tena…
Mabilioni unayajua? Haya baada ya kurudi alicho secure no sawa na alichotumia? Hivi huwa mna reason au?
 
Air Samia inakata anga baada ya anga. Lini atamuachia Mpango safari za nje ya bara la Africa. Naona Mpango yeye anasafiri hapa hapa Africa. Kama nawaona walinzi wa Magu wanapata wivu. 😭.Hizi per diem walizikosa maskini.
 
Kabla cjaendelea naomba kujuzwa ... expo 2020 unamanisha nini

Ni maonesho kama ilivyo syria exhibition au sabasaba.

Sema wenzetu yamejaa technolojia sana, inaonesha future ya dunia na dubai inataka iweke huko mbele. Uganda walipeleka maziwa la lato alivyokwenda museveni.
 
Kuna waungwana wanahoji pesa ya kodi anayotumia kusafiri, yaani pesa inawauma sana. Wanachosahau ni kuwa huko nje anakwenda kutafuta fursa za maisha yao wenyewe.

Wakiletewa wawekezaji halafu wakapewa kazi, wanaanza kuzingua na masuala yao ya kuendekeza uswahili.
Ndio maana nimewauliza wamewahi ona wapi Rais kafanya safari ya hasara? Eti gharama,gharama sh.ngapi hiyo ukilinganishwa na faida Nchi inapata?

Akikaa ndani hakuna gharama? Rubbish..

Yule mjinga wao aliegesha humu ndani akaishia kukuza deni twice, pumbavu zao.
 
Air Samia inakata anga baada ya anga. Lini atamuachia Mpango safari za nje ya bara la Africa. Naona Mpango yeye anasafiri hapa hapa Africa. Kama nawaona walinzi wa Magu wanapata wivu. 😭.Hizi per diem walizikosa maskini.
Sio kidogo mpwa, Magu alikuwa fair sana enzi zake alimuachia safari zote mama samia.

Yeye amekaba kote hataki hata mpango ama majaliwa kutoka nje ya nchi.

Hii ni dalili ya ubinafsi wa hali ya juu..

Ila hawa vijana wasipotajirika na hizi safari sijui tu
 
Mama asafiri tu yule mwenda zake alikosa exposer ya mambo ya nje kujua watu wanaishije ki civilization akawa kama mnyama,
 
Tumwache Mama
Aje na tujipesa kdgo kusaidia maendeleo.
 
Alichokuja nacho amweka wazi amewela rehani kitu gani? Reason son
Utuambie wewe hiyo tehani inatoka wapi,nimekuuliza swala hujajibu,,China walijenga reli ya Tazara haya tuambie tuliweka rehani nini?

Rais haendi kuomba anaenda kutafuta fursa za biashara,mikopo nafuu, wahisani wakitoa msaada hukatai.

Hapa global fundi wametoa msaada pesa kama zote na Mwigulu kaomba kwa hoja kwamba tumejenga hospital nyingi ila tuna changamoto ya vifaa.

Hivi vifaa vikipatikana Mkeo ukimtia mimba atakuja kuvitumia .

Screenshot_20220223-123936.png

Screenshot_20220223-124026.png

Screenshot_20220223-124051.png
 
Mama asafiri tu yule mwenda zake alikosa exposer ya mambo ya nje kujua watu wanaishije ki civilization akawa kama mnyama,
Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..

Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..
 
Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..

Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..
Tuweke list ya maraisi waliokwenda huko tafadhali?
 
Sio kidogo mpwa, Magu alikuwa fair sana enzi zake alimuachia safari zote mama samia.

Yeye amekaba kote hataki hata mpango ama majaliwa kutoka nje ya nchi.

Hii ni dalili ya ubinafsi wa hali ya juu..

Ila hawa vijana wasipotajirika na hizi safari sijui tu
Kwani kusafiri ni suala la fair? Kuna sehemu zinamhitaji Rais per say,,VP hajatoka Ethiopia juzi? Majaliwa alienda Ufaransa mapema mwaka 2021.

Magu alikuwa mgonjwa na hajui lugha na diplomasia inampiga Chenga sio suala la fair.
 
Kwa idadi ipi yawatu tuliyonayo hao waarabu wapate hamu yakuwekeza kwetu
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC

Hadhi yake sasa ni sawa na hadhi ya DJ anayezunguka kwenye kumbi mbalimbali za starehe kutumbuiza!
 
Mwaka huu
Aisee wewe ni bure kabisa,hiyo expo inaitwa Dubai world expo 2020,ilikuwa ifanyike 2020 ikasitishwa coz of covid 19.

Baada chanjo na uchumi wa Dunia kufunguka ndipo ikafangika na inaitwa hilo jina,kwa taarifa yako imeanza mwezi November 2021 na inamalizika mwezi.huu February.

Pole msana wabishi,kashfa nyingi afu kichwani watupu.
 
Back
Top Bottom