GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770

Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi 14, 000, 000 mwaka 2021 hadi Shilingi 792,563,616.24 mwaka 2025 ikiwa ni ongezeko la Shilingi 778,563,616 sawa na 57%, hii imechechemua uchumi wa
Geita na kuchochea maendeleo katika sekta ya uvuvi, lakini pia, idadi ya vizimba vya kufugia Samaki imeongezeka kutoka 4 mwaka 2021 hadi vizimba 27 mwaka 2025 ikiwa na sawa na ujenzi wa vizimba vipya 23 ndani ya miaka minne (4)

9999.png


Chanzo: ITV DIGITAL
 
Back
Top Bottom