Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Jiwe alikuwa ccm rangi tu, labda kama hujitambui ndio unaweza kushindwa kumtofautisha jiwe na hayo ma ccm.Majizi makubwa yakiongozwa na yule kichaa jiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe alikuwa ccm rangi tu, labda kama hujitambui ndio unaweza kushindwa kumtofautisha jiwe na hayo ma ccm.Majizi makubwa yakiongozwa na yule kichaa jiwe!
Hali tete nyumbani kwako nani kakuchagua kuwa Msemaji wetu?Hali Tete Lakini Wanakwenda Kukaa Kuongelea Siyo Ya Wananchi
Wanakwenda Kula Keki Ya Upako, Ili Wananchi Tuzidi Kupumbazika
Kwani wao wanaleta mvua?Ndiyo wanachoweza kwa sasa.mambo ya msingi kama huduma ya maji Dar es salaam vimewashinda.Lakini hivyo vikongamano vya kupeana posho ndiyo wanapenda.Hii awamu ni shida tupu
Hali ya uchumi ni mbaya mno.
Hali ya uchumi ni mbaya mno.
Unataka hoja za CCM zijibiwe na nani?Mngekuwa na akili nyie CCM msingekuwa mnajibu chochote kuhusu wizi kwenye chaguzi zetu,mana ni jambo lilo waza sana!
Ni bora muendelee na mapambio tu....