Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.

ccmtanzania~p~CToTYKcK5QW~1.jpg
 
Kunawatu wanaenda kusutwa leo, kisha wanatimuliwa kwa kukosa adabu...😎
 
Safi sana Hangaya!

Wale wengine bado wanajadili uchaguzi wa mwaka jana
 
Ndiyo maana naamini kuwa ushungi na baibui siyo alama ya ucha Mungu, kuna wakati hutumika kumficha shetani ambaye mtu anatambea naye.

NCCR walitaka kufanya kikao cha ndani, lakini anayewahadaa watu kuwa anamcha Mungu, anaona ni sahihi CCM kufanya kikao cha ndani.
 
porojo tu. hakuna jipya. Nchi mali yao tayari cha mno ni kwenda kupongezana kwa kazi nzuri inayofanywa ya kukandamiza wananchi.
Na hapo hutosikia Polisi wamevamia, sana sana kama watakuwepo basi ndio watakuwa wagawa maji na biskuti.
 
Back
Top Bottom