Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kila la heri kwa chama bora zaidi barani Afrika....
Siempre CCM[emoji123]
#NchiKwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri kwa chama bora zaidi barani Afrika....
Siempre CCM[emoji123]
#NchiKwanza
Mbona NCCR walizuwiwa?? This is not a fare ground of politicsLeo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1931522
Sirro saa hizi ameufyata mpaka umeingia haja kubwa!Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1931522
Ukoo wa kambale unaenda kukutana...Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1931522
wanajadili wapi wakati PoliCCM wanavamia vikao vya ndani vya wapinzani???Safi sana Hangaya!
Wale wengine bado wanajadili uchaguzi wa mwaka jana
Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1931522
Kwani msajili wa vyama vya siasa anasemaje kuhusu vikao vya ndani vya vyama vya siasa??
Wao wanafanya vikao, NCCR-Mageuzi wanazuiwa. Wafia wote kwenye jengo humo liwaangukie
acha kihere-here kama mbuzi wa stendi.Muulize msajili wa Chama
Kukosa adabu ipi kwa mfano!! Gwajima yuko very honest!! Wengi husema hadharani vitu ambavyo wenyewe hawaviamini lakini wanahisi mwenyekiti wao wa kijani anaviamini!! Kwa hiyo wanasema vitu kwa unafiki huku wakidhani mwenyekiti anapenda vitu hivyo. Gwajima yeye anasema hadharani vitu anavyoviamini bila kujali nani anaamini nini!! My personal conviction is that Gwajima deserves to be our next president come 2030!!Kunawatu wanaenda kusutwa leo, kisha wanatimuliwa kwa kukosa adabu...😎