Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

Kunawatu wanaenda kusutwa leo, kisha wanatimuliwa kwa kukosa adabu...😎
 
Safi sana Hangaya!

Wale wengine bado wanajadili uchaguzi wa mwaka jana
 
Ndiyo maana naamini kuwa ushungi na baibui siyo alama ya ucha Mungu, kuna wakati hutumika kumficha shetani ambaye mtu anatambea naye.

NCCR walitaka kufanya kikao cha ndani, lakini anayewahadaa watu kuwa anamcha Mungu, anaona ni sahihi CCM kufanya kikao cha ndani.
 
porojo tu. hakuna jipya. Nchi mali yao tayari cha mno ni kwenda kupongezana kwa kazi nzuri inayofanywa ya kukandamiza wananchi.
Na hapo hutosikia Polisi wamevamia, sana sana kama watakuwepo basi ndio watakuwa wagawa maji na biskuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…