Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

Atwambie swala la bandari likoje?
 
Wajumbe wa hiyo kamati asilimia 80 ni wazenji...wangejiita tu balaza la mji mkongwe badala ya kamati kuu
 
TISS wafanye kila wawezalo kuikoa nchi na huyu mama kaiuza nchi Dubai. Hakuna ujinga waliofanya kama huu wa kuingia mikataba 17 na mkoa wa UAE. Mama ni mtu wa ajabu sana ila kuna joto linakuja mbeleni.
 
Kikao kishauri Mwarabu apewe serikali pia, ufanisi umekuwa mdogo sana.
 
Kwani nae ni CCM kweli? Wazenji original hamna CCM. Hawataki chama cha Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…