Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma.

Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa Chama ngazi ya taifa, vitafanyika kwa mujibu wa Katiba ya CM ya Mwaka 1977, Toleo la 2023, vikitanguliwa na Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, itakayoketi Julai 8, mwaka huu 2023.​

View attachment 2681209
Atwambie swala la bandari likoje?
 
Wajumbe wa hiyo kamati asilimia 80 ni wazenji...wangejiita tu balaza la mji mkongwe badala ya kamati kuu
 
Tetesi ni kuwa kuna mikataba mingine kasaini na waarabu kuwakabidhi benki ya TIB, Mashamba yote ya NAFCO. Nafco inafutwa kama unayemjua huko mwambie ajipange maisha nje ya NAFCO.

Misitu yote mwarabu anachukua. NDC na ardhi yote imeenda. Mbuga zote chini ya TANAPA na Ngorongoro kapewa. Kuna vurugu kubwa inakuja kama haya ni kweli.
TISS wafanye kila wawezalo kuikoa nchi na huyu mama kaiuza nchi Dubai. Hakuna ujinga waliofanya kama huu wa kuingia mikataba 17 na mkoa wa UAE. Mama ni mtu wa ajabu sana ila kuna joto linakuja mbeleni.
 
Kikao kishauri Mwarabu apewe serikali pia, ufanisi umekuwa mdogo sana.
 
Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma.

Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa Chama ngazi ya taifa, vitafanyika kwa mujibu wa Katiba ya CM ya Mwaka 1977, Toleo la 2023, vikitanguliwa na Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, itakayoketi Julai 8, mwaka huu 2023.​

View attachment 2681209
Kwani nae ni CCM kweli? Wazenji original hamna CCM. Hawataki chama cha Nyerere
 
Back
Top Bottom