Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

Hakuna kitu kama hicho. Naona mmeanza kuweweseka baada ya kunusa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia taasisi na mashirika mbalimbali ya umma ,baada ya kuanza kutekeleza kwa ufanisi na ubunifu maelekezo Mazito yaliyokuwa yametolewa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa
Sasa acha bangi CAG alisema hivyo
 
Dogo lucas nilikukaribisha huku JFs sema nimebadilisha tu jina ndo maana umesahau.
Acha ujinga wakusifia upuuz
Ulinikaribisha kufanya nini .kwani nilikuwa mgeni.hufahamu mimi nipo humu kwa muda mrefu sana tangia 2013 huko ila nilikuwa tu sijajiunga bado.
 
Ni Gawio na Michango halali na siyo Gawio la kulazimishwa au kupika Takwimu.
Hujui unachoongea wewe na usitake tukasema hata yasiyopaswa kusemwa, lkn jua 90% ya mashirika na taasisi zote zimeminywa kupeleka gawio pasipo uhalisia na maana ya gawio kwa maana ya mengi ya mashirika hayo hayaendeshwa kwa hasara au hayafanyi vzr kwenye soko lake. Mfano mzuri ni TTCL, TANESCO, DAWASCO ambao watatoa gawio lkn kiukweli wapo hoi ukiacha taasisi kama Ngorongoro na TANAPA ambao wao wanafanya vzr licha ya kuwa kichaka cha kupiga pesa kwa viongozi wenye access na taasisi hizo.
 
Hujui unachoongea wewe na usitake tukasema hata yasiyopaswa kusemwa, lkn jua 90% ya mashirika na taasisi zote zimeminywa kupeleka gawio pasipo uhalisia na maana ya gawio kwa maana ya mengi ya mashirika hayo hayajapata hasara au hayafanyi vzr kwenye soko lake. Mfano mzuri ni TTCL, TANESCOA, DAWASCO ambao watatoa gawio lkn kiukweli wapo hoi ukiacha taasisi kama Ngorongoro na TANAPA ambao wao wanafanya vzr licha ya kuwa kichaka cha kupiga pesa kwa viongozi wenye access na taasisi hizo.
Ndugu yangu kaa kwa kutuliaa maana naona presha inakupanda na kushuka kwa kasi sana.
 
Huu ni mwaka wa Uchaguzi. Tutamsikiliza na tunamsihi asiache vijembe ambavyo amekuwa akilishwa na mabeberu na mamluki wakiongozwa na CHADEMA na magenge yao
Ataumbuka.
 
Tuliambiwa wakati wa Magufuli kuwa Mashirika yalikuwa hayaingizi faida bali hasara na Wakurugenzi walikuwa wanakopa pesa Benki ili wakatoe gawio kwa serikali.Sasa yeye Samia kafanya miujiza gani mpaka Mashirika yamepata faida wakati Management mentality ya Watumishi ni ile ile!!!
Ata Samia wakati nilimsikia akisema Mashirika yalikopa pesa!
Hujaziona Reforms?

Unamfahamu Kitila Mkumbo? Hivi yupo wizara ipi vile?
 
Back
Top Bottom