Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Anaelewa vyema ila anajifanya ni kipofu wa akili na macho. Kila mtanzania mwenye akili Timamu anafahamu Mageuzi makubwa yaliyofanyika katika kuleta ufanisi wa utendaji kazi wa mashirika na taasisi mbalimbali za Umma,hususani usimamizi na sera bora.Hujaziona Reforms?
Unamfahamu Kitila Mkumbo? Hivi yupo wizara ipi vile?
Kwa busara mashirika yangekaguliwa kwanza na CAG ndipo idhini ya gawio itoke ili kujiridhisha kwamba mashirika hayajakopa ili kumridhisha rais kwa kumpa gawio feki nayeye kuchekelea na kusifu WAHUNI hao!!Chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais Samia na maelekezo yake mazito kwa Mashirika na taasisi za umma,kumekuwa na kuongezeka kwa ufanisi pamoja na ubunifu katika uendeshaji wa taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.hali iliyoleta tija na kuleta faida baada ya kuondokana na kuziba mianya iliyokuwa ikileta hasara kwa mashirika na taasisi hizo.
Wewe kaa pembeni tu maana haya mambo yapo juu ya uwezo wa akili yako.Usanii umeanza tena
Mkono na jicho la serikali lipo kila eneo ikiwepo hapo ulipo wewe.Kwa busara mashirika yangekaguliwa kwanza na CAG ndipo idhini ya gawio itoke ili kujiridhisha kwamba mashirika hayajakopa ili kumridhisha rais kwa kumpa gawio feki nayeye kuchekelea na kusifu WAHUNI hao!!
Hii nchi wengi tukiwa timamu tukaacha upambe wakipumbafu tutasogea LAKINI kwa uzwazwa wakusifu hovyo WAHUNI watalitafuna taifa na watoto wetu tutawarithisha misiba tuu kwasababu ya wajinga wasifio tuuu kilakukicha!!!
Ficha ujinga wako wewe,kunawatu wamefilisi NHIF,PSSF Kwa kuiba kizeembe mpaka mifuko hiyo kufikia kufeli kizembe,huko tanapa zinachotwa mpaka aibu,tanesco inapigwa michezo hata wabibi vijijini wanajua lkn serikali na takukuru haijui,halmashauri ndiyo usiseme mpaka aibu!!Mkono na jicho la serikali lipo kila eneo ikiwepo hapo ulipo wewe.
Bado anaiga propaganda za dhalimu magu?!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana lenye maslahi mapana kwa Taifa letu na lenye kuonyesha hali nzuri na yenye Matumaini na ustawi mzuri wa uchumi wetu.
Ni tukio la kupokea Gawio na michango kutoka mashirika na taasisi mbalimbali za umma. Ambapo zitatoa kwa serikali Gawio na michango kutokana na faida iliyopatikana.,inayotokana na mazingira wezeshi na mazuri yaliyowekwa na kuboreshwa na serikali ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia. Ni Gawio na Michango halali na siyo Gawio la kulazimishwa au kupika Takwimu.
Ni Gawio na michango inayoonesha na kutoa picha na taswira ya kuongezeka kwa ufanisi katika uendeshaji wa taasisi na mashirika ya umma, hasa baada ya maelekezo Mazito Sanaa ya Mheshimiwa Rais yakutaka kuongezwa ufanisi na ubunifu kwa mashirika na taasisi zote za umma. Ni gawio na Michango inayoonyesha muelekeo mzuri wa kuondoa hasara kwa mashirika na taasisi za umma.lakini pia kuonyesha kuanza kuwa mashirika yenye faida na tija badala ya kuwa mashirika Mzigo ,tegemezi na kupe kwa serikali na kodi za watanzania.
Tutarajie hotuba nzito sana kutoka kwa Amiri Jeshi mkuu Daktari Samia Suluhu Hasssan,yenye kutoa muongoza na Dira pamoja na maelekezo kwa Masuala mbalimbali Mtambuka. Tukio hilo litakuwa live kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini pamoja na mitandao yote ya kijamii.usipange kukosa wala usisubiri kuhadithiwa maana utakuwa umekosa mambo mengi sana na utajuta sana maishani mwako. Andika historia yako mwenyewe kwa kufuatilia tukio la leo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mams ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kusingekuwa na umaskini wa hivi.Mkono na jicho la serikali lipo kila eneo ikiwepo hapo ulipo wewe.
Wananchi wabubujikwa na machozi!Ndugu zangu Watanzania,

Hamuwezi kumsahau kwa yake mema!Bado anaiga propaganda za dhalimu magu?!
Lucas yupo vyema ni kijana mzalendo hahitaji kazi!Upo fasta zaidi ya msemaji wa serikali.
Hivi CCM MKAMBARANI The Sunk Cost Fallacy 2 Magonjwa Mtambuka FaizaFoxy kipara kipya Ritz Nape Nnauye
Huyu dogo kwanini msimpe hata ufagizi hapo YUVISISIEMU?
Hakuwa na wema wowote bali alikuwa anatekeleza wajibu wake kwani alilipwa mshahara wake. Mimi namkumbuka kwa udhalimu wake tu.Hamuwezi kumsahau kwa yake mema!
Umaskini utaondolewa kwanza na wewe kwa mikono yako mwenyewe kwa kufanya kazi kwa juhudi ,bidii na maarifa.Kusingekuwa na umaskini wa hivi.
Ni jambo jema
Mtanikumbuka ππ
Siyo sinema bali UKWELI na uhalisiaNgoja tusubirie sinema
Ova
Siyo sinema bali UKWELI na uhalisiaNgoja tusubirie sinema
Ova
Hakuna anayebakia salama wala kuonewa huruma pale atakapobainika kufuja pesa za UmmaFicha ujinga wako wewe,kunawatu wamefilisi NHIF,PSSF Kwa kuiba kizeembe mpaka mifuko hiyo kufikia kufeli kizembe,huko tanapa zinachotwa mpaka aibu,tanesco inapigwa michezo hata wabibi vijijini wanajua lkn serikali na takukuru haijui,halmashauri ndiyo usiseme mpaka aibu!!
Acha kutetea upuuzi kijana watu tumechoshwa na huu uvundo ila hatuwezi kuzuia kwasababu ya system za hovyo tulizonazo
Kaokioteni mafamba na washamba wenzenu. Hakuna uwezo mtawapata wenye uelewa.Siyo sinema bali UKWELI na uhalisia