Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hii nafasi inadharaulika Sana, eti Hadi salum mwalimu nae angekuwa VP!Huko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nafasi inadharaulika Sana, eti Hadi salum mwalimu nae angekuwa VP!Huko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Ulitaka niandike nini boss?Umeandika nini sasa na wewe?
Hawa watu wanajadili mambo kishabiki.Umenijibu swali langu? Nani kakwambia EPA ni kutokutoza Kodi bidhaa?
🤣🤣🤣kweliHivi vitu vyengine kabla hawaja sign wawe wanatuelimisha kwanza sasa mtu nasikia tu EPA!,faida yake sijui,hasara pia sijui..! Haya vipi kama ni mpango mkakati wa siri ndani yake..?
Tunaambiwa tu nchi inafunguliwa,aisee kunakufunguliwa na kuliwa..😂
Kwahiyo hako kafaida kadogo tunakokapata kwa kuexport minofu ya samaki ndio wametupora kupitia huo mkataba na ndio Rais kaenda kuusaini??Pia kuna mpaka fishing hapo, usisahahu EU kuna overfishing na wameshamaliza samaki wao wote sasa wanakuja kuvua kwenye bahari yetu tax free!
Ni kweli. Pia sisi tulikuwa tuna tatizo la kuwa SADC na EAC. Tukiwa SADC, Ulaya hawakutaka kututofautisha na kiwango cha ukuaji wa uchumi wa South Africa na tukiwa EAC hawakututofautisha na Kenya wakati nchi hizi zilikuwa na faida kwenye soko la Ulaya kuliko sisi! Kwa hakika mikataba hii ina maslahi makubwa upande wa Ulaya kuliko nchi zetu. Basi tu watu wameacha kutumia akili na uzoefu nchini.Pia kuna mpaka fishing hapo, usisahahu EU kuna overfishing na wameshamaliza samaki wao wote sasa wanakuja kuvua kwenye bahari yetu tax free!
Sasa ulitegemea secretary wa boss awe na maajabu?Kwa mambo anayoyafanya nahisi anatukomoa makusudi
Ni kweli. Hii okota okota ya umakamu itatugharimu sana.Huko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Ingekuwa vyema wewe ndio uulete huo mkataba ili ukosoe vyema. Otherwise hizi ni pumba tu.Kwanza umekurupuka. Unaongea uvumi, pili unatakiwa kuweka mkataba hapa na sio kuongea kishabiki. Hatuwezi kuchangia uzushi na bila vielelezo. Kama ni mawazo yako binafsi sema kwamba unaongea bila kujua mkataba ukoje.
Hivi vitu vyengine kabla hawaja sign wawe wanatuelimisha kwanza sasa mtu nasikia tu EPA!,faida yake sijui,hasara pia sijui..! Haya vipi kama ni mpango mkakati wa siri ndani yake..?
Tunaambiwa tu nchi inafunguliwa,aisee kunakufunguliwa na kuliwa..😂
Ni wakati sasa wa serikali kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ili wazalishaji wa ndani watoe products zinazoweza ku compete na hizo za kutoka ulaya. Ishu za umeme, na bei za pembejeo za uzalishaji hasa upande wa kilimo zinatakiwa kuangaliwa kwa umakini.Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Ili kuondoa huo ushabiki inabidi watu hasa wanaopinga hiyo EPA wakaelimishwa manufaa yake.Acha ushabiki maandazi kama wa yule marehemu.... utamudu bidhaa ya ulaya wewe?
EPA ilikataliwa kishabiki sana.
Mkuu na hilo ndio tatizo,hatujui kuna nini ndani ya mkataba.Kwanza umekurupuka. Unaongea uvumi, pili unatakiwa kuweka mkataba hapa na sio kuongea kishabiki. Hatuwezi kuchangia uzushi na bila vielelezo. Kama ni mawazo yako binafsi sema kwamba unaongea bila kujua mkataba ukoje.
Kumbe huyu mama ana VISION,Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Issue kama hii kuna wanaikataa sasa subiri kenya iturn na kuiba hii mikataba ifanyike kenya uone watu wale wale wanaopinga watakavyobadilika na kuilaumu serikali!Tarrifs ziko za aina nyingi,tarrifs gani unazungumzia?
Tuna vingi vya ku export
View attachment 2119619
View attachment 2119620
View attachment 2119621
View attachment 2119622
Dah!...Huko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Ndugai alionambali kwa hiliMuda si mrefu utashangaa Nchi imeshauzwa! Na tukijiroga mpaka 2030, ndiyo kabisaaa! Hii Nchi itakuwa ni mali ya Mabeberu.