Rais Samia kushiriki Siku ya Mashujaa leo Julai 25

Rais Samia kushiriki Siku ya Mashujaa leo Julai 25

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Kuteka hisia za watu na kutawala anga la Siasa hapa Nchini kwa takribani Wiki nzima.Hii leo Tena anakuja hadharani kishujaa na Kikomandoo katika siku ya Mashujaa Ambayo huazimishwa kila mwaka Tarehe 25 Julai.

Hii ni siku Muhimu katika kuwakumbuka Mashujaa wa Nchi yetu waliokufa wakipigania Taifa letu katika vita mbalimbali na maeneo mbalimbali. Ni Siku ya Mashujaa itakayoongozwa na shujaa wa Taifa letu na Afrika Jemedari hodari Daktari Mama Samia.

Ni Shujaa kwa kuwa katuvusha katika mitihani na vita mbalimbali zilizojitokeza mbele yetu kama Taifa.Tumepigani vita ya kiuchumi ,mfumuko wa bei,N.k. na tukaibuka washindi kwa kishindoo chini ya shujaa na Jemedari hodari Mama Samia ,Mama wa shoka , chuma cha Reli,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya wanyonge.

Chini ya uongozi wake. Taifa limekuwa na Matumaini makubwa sana na kupiga hatua katika kila eneo,Taifa limetamalaki kwa amani,furaha , mshikamano,umoja na upendo miongoni mwa Watanzania.Taifa limekuwa na utulivu na kutulia kama Bahari . Kila mtanzania anaoona nuru na Mwanga mbele yake wa kutimiza ndoto zake.

Tunashinda kila vita inayojitokeza mbele yetu kwa kuwa mbele yetu yupo Shujaa na Jemedari Imara Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Tunavuka kila bonde na kupanda kila mlima na kuruka kila korongo, kwakuwa mbele yetu kuna mkono hodari wa shujaa Daktari Mama Samia unaotushika Mkono na kutuvusha kishujaa bila kuteteleka.
Screenshot_20240725-085019_1.jpg

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Muambie huyo shujaa wako awe anajisomea somea vitabu apate maarifa, zile hotuba zake za live huwa ni nyeupe sanaa!.
huoni maono kutoka kwake zaidi ya kutoa maboko kama yale ya eti kuanzisha migodi hifadhini kitu ambacho huwezi kutarajia kutoka kwa raia namba moja.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Kuteka hisia za watu na kutawala anga la Siasa hapa Nchini kwa takribani Wiki nzima.Hii leo Tena anakuja hadharani kishujaa na Kikomandoo katika siku ya Mashujaa Ambayo huazimishwa kila mwaka Tarehe 25 Julai.

Hii ni siku Muhimu katika kuwakumbuka Mashujaa wa Nchi yetu waliokufa wakipigania Taifa letu katika vita mbalimbali na maeneo mbalimbali. Ni Siku ya Mashujaa itakayoongozwa na shujaa wa Taifa letu na Afrika Jemedari hodari Daktari Mama Samia.

Ni Shujaa kwa kuwa katuvusha katika mitihani na vita mbalimbali zilizojitokeza mbele yetu kama Taifa.Tumepigani vita ya kiuchumi ,mfumuko wa bei,N.k. na tukaibuka washindi kwa kishindoo chini ya shujaa na Jemedari hodari Mama Samia ,Mama wa shoka , chuma cha Reli,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya wanyonge.View attachment 3051373

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mashujaa shughuli zikiwazidia hukaa vifua wazi, kazi iendelee
 
Muambie huyo shujaa wako awe anajisomea somea vitabu apate maarifa, zile hotuba zake za live huwa ni nyeupe sanaa!.
huoni maono kutoka kwake zaidi ya kutoa maboko kama yale ya eti kuanzisha migodi hifadhini kitu ambacho huwezi kutarajia kutoka kwa raia namba moja.
Ondoa ujinga wako hapa na akili yako kisoda hiyo.
 
Muambie huyo shujaa wako awe anajisomea somea vitabu apate maarifa, zile hotuba zake za live huwa ni nyeupe sanaa!.
huoni maono kutoka kwake zaidi ya kutoa maboko kama yale ya eti kuanzisha migodi hifadhini kitu ambacho huwezi kutarajia kutoka kwa raia namba moja.
Migodi hifadhini itaanza,kazi yake siyo kuhubiri maono
 
Amtaje Nyerere ili iweje!?.. Nyerere alitia watu ufukara,viraka makalioni vilipanda

Naona umejawa na chuki binafsi moyoni mwako.
Nyerere alikuta watu wanatembea matako wazi kabisa na kuvaa ngozi ...hivyo viraka ilikuwa ni hatua ya maendeleo wakati wa waarabu na wakoloni tulikuwa tunatembea uchi kabisa ...wapumbavu wengi kama nyinyi ndiyo mnataka kutudanganya kuwa mkoloni alimkabidhi Nyerere nchi yenye maisha bora kumbe wakati wa mkoloni maisha yalikuwa mabovu kuliko wakati wa Nyerere
 
Hawa Ndio wanamponza huyu mama,anajiona yupo on right site kumbe anaendesha nje ya driving lane.

Ajabu kwenye makosa ya serikali huwa wanakaa kimyaa wanamuacha ahangaike peke yake mama wa watu.
 
Hawa Ndio wanamponza huyu mama,anajiona yupo on right site kumbe anaendesha nje ya driving lane.

Ajabu kwenye makosa ya serikali huwa wanakaa kimyaa wanamuacha ahangaike peke yake mama wa watu.
Nchi imejaa vilaza, mtu ambaye amesoma chuo nje hawezi kuwa msifiaji kijinga hivi, tuangalie mfumo wetu wa elimu, Lucas amezaliwa Chunya certificate amesoma Chuo cha utumishi Tabora, atapata wapi akili?
 
Back
Top Bottom