Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Kuteka hisia za watu na kutawala anga la Siasa hapa Nchini kwa takribani Wiki nzima.Hii leo Tena anakuja hadharani kishujaa na Kikomandoo katika siku ya Mashujaa Ambayo huazimishwa kila mwaka Tarehe 25 Julai.
Hii ni siku Muhimu katika kuwakumbuka Mashujaa wa Nchi yetu waliokufa wakipigania Taifa letu katika vita mbalimbali na maeneo mbalimbali. Ni Siku ya Mashujaa itakayoongozwa na shujaa wa Taifa letu na Afrika Jemedari hodari Daktari Mama Samia.
Ni Shujaa kwa kuwa katuvusha katika mitihani na vita mbalimbali zilizojitokeza mbele yetu kama Taifa.Tumepigani vita ya kiuchumi ,mfumuko wa bei,N.k. na tukaibuka washindi kwa kishindoo chini ya shujaa na Jemedari hodari Mama Samia ,Mama wa shoka , chuma cha Reli,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya wanyonge.
Chini ya uongozi wake. Taifa limekuwa na Matumaini makubwa sana na kupiga hatua katika kila eneo,Taifa limetamalaki kwa amani,furaha , mshikamano,umoja na upendo miongoni mwa Watanzania.Taifa limekuwa na utulivu na kutulia kama Bahari . Kila mtanzania anaoona nuru na Mwanga mbele yake wa kutimiza ndoto zake.
Tunashinda kila vita inayojitokeza mbele yetu kwa kuwa mbele yetu yupo Shujaa na Jemedari Imara Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Tunavuka kila bonde na kupanda kila mlima na kuruka kila korongo, kwakuwa mbele yetu kuna mkono hodari wa shujaa Daktari Mama Samia unaotushika Mkono na kutuvusha kishujaa bila kuteteleka.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.