Rais Samia kushuhudia utiaji wa saini wa Mkataba SGR

Rais Samia kushuhudia utiaji wa saini wa Mkataba SGR

Hzi nyimbo za SGR tushazichoka. Ni ood school.

Kipande cha Dar - Moro mpk kesho bado wakati tuliambiwa kingezinduliwa August 2020.
 
Mpuuzi mkubwa wewe chumia tumbo wa koromitje,

Hujui kuwa hiyo mikopo wanalipa wananchi kupitia kodi zao?
Sisi wananchi tusharidhirika na tunaiunga mkono serikali asilimia 100,haya nenda kanywe sumu!
 
Utakunywa sumu wewe sukuma gang maana mmetengwa utadhani mna ukoma.
Aliyekudhamini hilo jero la bundle ametuletea balaa bora angekulipia uji wa ulezi na kalimati tusingepata hii vurugu!
 
Aliyekudhamini hilo jero la bundle ametuletea balaa bora angekulipia uji wa ulezi na kalimati tusingepata hii vurugu!
Heri yangu mimi nikipatiwa uji wa ulezi kuliko wewe unayeshindia maji ya kandoro na kashata
 
Back
Top Bottom