Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Saisa za Tanzania hazitabiliki hivyo kupata wawekezaji wa uhakika na wenye mitaji mikubwa inatuwia vigumu sana . Kwa siasa zetu inatufanya tupate wawekezeji wenye ubabashaji kama zilivyo sera na siasa zetu ambazo hazitabiliki
 
Saisa za Tanzania hazitabiliki hivyo kupata wawekezaji wa uhakika na wenye mitaji mikubwa inatuwia vigumu sana . Kwa siasa zetu inatufanya tupate wawekezeji wenye ubabashaji kama zilivyo sera na siasa zetu ambazo hazitabiliki
Huwaoni waliopo kwa sasa ?
 
Kazi inapigwa sana tu
 
Bei za mafuta hazipangwi na rais au Waziri; zinapangwa na soko la dunia. Marekani ambao wana mafuta yao nao bado wanalia na bei, itakuwa Tanzania? Wakati mwingine wanasiasa kujifanya malaika na wanaojua sana huwa kunaponza maisha ya wananchi. Ni afadhali kuwaambia wananchi ukweli kuwa bei za mafuta zimepanda sana duniani, inabidi tuwe makini na matumizi yetu ya mafuta kuliko kuwapa false hopes.

Huu uwongo wa Makamba kuwa ametembelea nchi zinazozalisha mafuta na zimekubali kuijengea Tanzania Ghala la mafuta umekithiri. Ni nchi gani nyingine duniani imejengewa maghala hayo? Marekani wana strategic reserve ambayo ilijengwa na serikali yao baada ya mgogoro wa mafuta wa mwaka 1973-74
 
Naona waliwapunguzia tozo na kodi matajiri wa mafuta, halafu wakaongeza bei kwa wananchi ili wafanya biashara wapate faida maradufu.
Makamba la mafuta lilimshinda yupo kimya..kakimbilia kuharibu tanesco
 
Kazi iendelee
 
Safi Sana
 
Kazi iendelee Mama, Tuko na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…