Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia Shirika la mafuta nchini yaani TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation ) sasa tutaagiza mafuta moja kwa moja toka Visimani hii ikiwa ni baada ya Waziri wa nishati Mhe January Makamba kufanya ziara ya kiserikali kwenye nchi zinazochimba mafuta za Saudi Arabia, Algeria na UAE,

Nia ya Serikali ya awamu ya Sita nikuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha yake kwa gharama ndogo iwezekanavyo ili awe na ziada kwaajili ya maendeleo yake ya kimwili, kiroho na maendeleo ya vitu hakika tumempata Rais mwenye Uchungu wa kweli wa maisha ya watu wake ambao wengi wao ni watu wa kipato cha chini sana,

Tanzania kwa mwaka inaagiza wastani wa Jumla ya lita za mafuta 3.5BL kwa kutumia makampuni binafsi kwa mtindo wa Bulk Procurement System ( BPS ) yaani kwa malundomalundo mtindo ambao uliwapa faida zaidi wawekezaji na kuumiza zaidi walaji wa mwisho alichokifanya Rais Samia sasa ni kupindua meza,

Wamiliki hao wa Visima vya Mafuta wameonesha nia pia ya kujenga Visima bandia vya mafuta hapa nchini kwaajili ya kuhifadhi mafuta yao na kuzisambazia nchi zote za maziwa makuu hakika Tanzania tunakwenda vizuri sana,

Mama yetu kipenzi japo Mimi CHADEMA
 
Baada ya kusoma sana comments za watu kweli nchi hii tunakazi kubwa sana hivi kweli mtu anaamini kabisa kuwa kuna mafuta ya bei rahisi? mafuta yanaamuliwa na bei ya soko la dunia na hata refine products bei zinapangwa kidunia wanatumia Platts kama benchmark ya bei. Ukitaka ushindani wa kibiashara ni kuacha soko liamue na washindani washindane ndani hii ya kuleta pamoja unaondoa ushindani. Hakuna nchi duniani ikakupa mafuta bei rahisi hizo nchi mafuta ni income yao kama sisi dhahabu huku eti aje mtu huku tuuzie dhahabu bei rahisi kidogo? December si keshokutwa tu kama na kama utasikia tumeshusha Sh 13 kwa liter haya tumpongeze Mama. Hakuna siasa katika biashara zile biashara kuna wawekezaji wamewekeza kupata faida sio kusaidia na crude itapanda kupita dola 100 mpaka mwakani.
 
Thubutuuuuuuuuuu

Labda nchi nyingine, Kwa vongozi Hawa ambao wanawaza kuongeza Tozo kila wakati ndio washushe Bei?
Nitahamia Rwanda walahi
Tunawaza pamoja. This is impossible under CCM
 
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia Shirika la mafuta nchini yaani TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation ) sasa tutaagiza mafuta moja kwa moja toka Visimani hii ikiwa ni baada ya Waziri wa nishati Mhe January Makamba kufanya ziara ya kiserikali kwenye nchi zinazochimba mafuta za Saudi Arabia, Algeria na UAE,

Nia ya Serikali ya awamu ya Sita nikuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha yake kwa gharama ndogo iwezekanavyo ili awe na ziada kwaajili ya maendeleo yake ya kimwili, kiroho na maendeleo ya vitu hakika tumempata Rais mwenye Uchungu wa kweli wa maisha ya watu wake ambao wengi wao ni watu wa kipato cha chini sana,

Tanzania kwa mwaka inaagiza wastani wa Jumla ya lita za mafuta 3.5BL kwa kutumia makampuni binafsi kwa mtindo wa Bulk Procurement System ( BPS ) yaani kwa malundomalundo mtindo ambao uliwapa faida zaidi wawekezaji na kuumiza zaidi walaji wa mwisho alichokifanya Rais Samia sasa ni kupindua meza,

Wamiliki hao wa Visima vya Mafuta wameonesha nia pia ya kujenga Visima bandia vya mafuta hapa nchini kwaajili ya kuhifadhi mafuta yao na kuzisambazia nchi zote za maziwa makuu hakika Tanzania tunakwenda vizuri sana,

Team Mwendazake njooni mjionee mambo bulbul ya mama huku.
 
Kwa Nini Bei ya mafuta nchi za jirani Kama Zambia ni Tsh 1,800 hapa Tanzania Tsh 2,400 Tena sisi tuna bandari 3 nchi hizo za jirani hazina bandari. hii Serikali inacheza na akili za watu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Muda ni rafiki mzuri
Muda ni msema kweli
Muda ni muandishi mzuri.
 
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia Shirika la mafuta nchini yaani TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation ) sasa tutaagiza mafuta moja kwa moja toka Visimani hii ikiwa ni baada ya Waziri wa nishati Mhe January Makamba kufanya ziara ya kiserikali kwenye nchi zinazochimba mafuta za Saudi Arabia, Algeria na UAE,

Nia ya Serikali ya awamu ya Sita nikuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha yake kwa gharama ndogo iwezekanavyo ili awe na ziada kwaajili ya maendeleo yake ya kimwili, kiroho na maendeleo ya vitu hakika tumempata Rais mwenye Uchungu wa kweli wa maisha ya watu wake ambao wengi wao ni watu wa kipato cha chini sana,

Tanzania kwa mwaka inaagiza wastani wa Jumla ya lita za mafuta 3.5BL kwa kutumia makampuni binafsi kwa mtindo wa Bulk Procurement System ( BPS ) yaani kwa malundomalundo mtindo ambao uliwapa faida zaidi wawekezaji na kuumiza zaidi walaji wa mwisho alichokifanya Rais Samia sasa ni kupindua meza,

Wamiliki hao wa Visima vya Mafuta wameonesha nia pia ya kujenga Visima bandia vya mafuta hapa nchini kwaajili ya kuhifadhi mafuta yao na kuzisambazia nchi zote za maziwa makuu hakika Tanzania tunakwenda vizuri sana,

Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia Shirika la mafuta nchini yaani TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation ) sasa tutaagiza mafuta moja kwa moja toka Visimani hii ikiwa ni baada ya Waziri wa nishati Mhe January Makamba kufanya ziara ya kiserikali kwenye nchi zinazochimba mafuta za Saudi Arabia, Algeria na UAE,

Nia ya Serikali ya awamu ya Sita nikuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha yake kwa gharama ndogo iwezekanavyo ili awe na ziada kwaajili ya maendeleo yake ya kimwili, kiroho na maendeleo ya vitu hakika tumempata Rais mwenye Uchungu wa kweli wa maisha ya watu wake ambao wengi wao ni watu wa kipato cha chini sana,

Tanzania kwa mwaka inaagiza wastani wa Jumla ya lita za mafuta 3.5BL kwa kutumia makampuni binafsi kwa mtindo wa Bulk Procurement System ( BPS ) yaani kwa malundomalundo mtindo ambao uliwapa faida zaidi wawekezaji na kuumiza zaidi walaji wa mwisho alichokifanya Rais Samia sasa ni kupindua meza,

Wamiliki hao wa Visima vya Mafuta wameonesha nia pia ya kujenga Visima bandia vya mafuta hapa nchini kwaajili ya kuhifadhi mafuta yao na kuzisambazia nchi zote za maziwa makuu hakika Tanzania tunakwenda vizuri sana,

Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Baada ya kusoma sana comments za watu kweli nchi hii tunakazi kubwa sana hivi kweli mtu anaamini kabisa kuwa kuna mafuta ya bei rahisi? mafuta yanaamuliwa na bei ya soko la dunia na hata refine products bei zinapangwa kidunia wanatumia Platts kama benchmark ya bei. Ukitaka ushindani wa kibiashara ni kuacha soko liamue na washindani washindane ndani hii ya kuleta pamoja unaondoa ushindani. Hakuna nchi duniani ikakupa mafuta bei rahisi hizo nchi mafuta ni income yao kama sisi dhahabu huku eti aje mtu huku tuuzie dhahabu bei rahisi kidogo? December si keshokutwa tu kama na kama utasikia tumeshusha Sh 13 kwa liter haya tumpongeze Mama. Hakuna siasa katika biashara zile biashara kuna wawekezaji wamewekeza kupata faida sio kusaidia na crude itapanda kupita dola 100 mpaka mwakani.
We hujaelewa nini sasa kwa sasa tunanunua kwa watu binafsi ambao wao ndo wanaagiza so wanatupindua watakavyo, ila sasa mama kaamua serikali iagize direct ktk wenye visima, apo ndo wawe na wataalam wa kuagiza na kununua kwa bei nzuri wakati demand ipo low wananunua mengi maana bei inakua chini, mfano korona ikikolea bei ya crude nayo inashuka,
 
Safi kabisa
 
Back
Top Bottom