Rais Samia kusomesha vijana 20 wasiojiweza

Kwa nini atoe pesa ya mfukoni mwake??

Yaani serikali inayokusanya kodi inashindwa yeye kwa fedha za mfukoni mwake atawezaje??
Kwaiyo ulitaka asiwasaidie? acha roho mbaya kijana mdogo Rais Samia Suluhu ana moyo wa kutoa acha atoe na Mungu atambariki
 
Wale wasichana wa mama salma wako wapi leo?
Hapa tunamuongea Rais Samia Suluhu kipenzi cha watanzania wote anaepambana kwa hali na mali kutokomeza tatizo la ajira Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…