Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo ulitaka asiwasaidie? acha roho mbaya kijana mdogo Rais Samia Suluhu ana moyo wa kutoa acha atoe na Mungu atambarikiKwa nini atoe pesa ya mfukoni mwake??
Yaani serikali inayokusanya kodi inashindwa yeye kwa fedha za mfukoni mwake atawezaje??
Hapa tunamuongea Rais Samia Suluhu kipenzi cha watanzania wote anaepambana kwa hali na mali kutokomeza tatizo la ajira TanzaniaWale wasichana wa mama salma wako wapi leo?