900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Akiongea kiingereza ataongea na Afrika Mashariki na dunia kwa ujumla.Haijulikani Kama ataongea Kiswahili au Kiingereza.
Lakini akiongea Kiswahili ataongea na watu wengi zaidi Kenya.
Ukienda sokoni Nairobi, Bujumbura, Lubumbashi, lugha inayovuma angani no Kiswahili.