900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Akiongea kiingereza ataongea na Afrika Mashariki na dunia kwa ujumla.Haijulikani Kama ataongea Kiswahili au Kiingereza.
Lakini akiongea Kiswahili ataongea na watu wengi zaidi Kenya.
Ukienda sokoni Nairobi, Bujumbura, Lubumbashi, lugha inayovuma angani no Kiswahili.
Hawa waswahili hawana ubunifu wowote kwenye uongozi.No new as a good news" kuhutubia bunge la kenya watanzania watanufaika nini, mishahara naskia haongezi ni blaa blaa tu, mwinyi naye kule zanzibar eti asingizia Corona, wazanzibar washaanza kuamka jamaa anapiga kamba tupu hana jipya.
Kuna giza nene laja: Safari ya Kenya, ombi la mkopo IFM, kitachofuata ni nini!!!!Tanzania itaanza kung'ara Tena kimataifa
Anafukia mashimo ya nduli Magufuli.Rais Samia leo anawahutubia wananchi wa Kenya na Tanzania kupitia bunge la Kenya ambalo litasheheni wabunge wa mabunge yote mawili ya nchi hiyo
Tukio hilo litakuwa mubashara kupitia runinga mbalimbali duniani.
Kazi Iendelee!
Huyu ndio rais, sio yule mwingine mtukanaji asiyejali utu wa raia zake.Rais Samia leo anawahutubia wananchi wa Kenya na Tanzania kupitia bunge la Kenya ambalo litasheheni wabunge wa mabunge yote mawili ya nchi hiyo
Tukio hilo litakuwa mubashara kupitia runinga mbalimbali duniani.
Source: BBC
Kazi Iendelee!
Maoni yako yatazingatiwa!Afanye yote lakini si kuwaruhusu wakenya kufanya kazi ambazo watanzania wanaweza fanya maana hili ndilo linawauma sana wakenya kati ya mengi yanayo wauma!
Hivi kuna mtanzania ni meneja rasilimali watu uko kenya kwenye kampuni yeyote?
Kila la Kheri President lakini Tanzania kwanza
Umekuwa msemaji wa awamu ya 6,baada ya ile ya mwendazake?Rais Samia leo anawahutubia wananchi wa Kenya na Tanzania kupitia bunge la Kenya ambalo litasheheni wabunge wa mabunge yote mawili ya nchi hiyo
Tukio hilo litakuwa mubashara kupitia runinga mbalimbali duniani.
Source: BBC
Kazi Iendelee!
Kila la kheri mama president lakini kuwa makini sana na wakenye ni wajanjwajanja sana mama tunakusihi kutanguliza maslahi ya watanzania kwanza. Mimi nasema hayo kwa kuwa wakenya nawafahamu sana wanavizia nafasi zetu sanaRais Samia leo anawahutubia wananchi wa Kenya na Tanzania kupitia bunge la Kenya ambalo litasheheni wabunge wa mabunge yote mawili ya nchi hiyo
Tukio hilo litakuwa mubashara kupitia runinga mbalimbali duniani.
Source: BBC
Kazi Iendelee!
Ahsante bwashee!Zamani ilikua huku Jiwe huku Trump. Ugali moto mboga moto.
Sahizi huku Mama SSH huku Biden wote wamepoa ka maji mtungini. But I wish her the very best.
Uchumi wa Tanzania unawahitaji mno Wakenya na aliyeharibu uliokuwa Uhusiano mzuri baina ya hizi nchi mbili alituponza sana Watanzania na tafadhali hili lisijirudie tena.Rais Samia leo anawahutubia wananchi wa Kenya na Tanzania kupitia bunge la Kenya ambalo litasheheni wabunge wa mabunge yote mawili ya nchi hiyo
Tukio hilo litakuwa mubashara kupitia runinga mbalimbali duniani.
Source: BBC
Kazi Iendelee!