I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Hiyo neno mapema umeandika kimahaba tu, sema ukweli wako, wee si kidume?Kutoka kwenye sorces zisizo na uhakika zilisema kuwa.
Alikimbia kwa sabbu system zilikuwa hacked ...yaliyokuwa yafanyike/kutangazwa tayari yalikuwa yameshafika mitandaoni.
Hoja ya mapepo,Sina uhakika.
Yote kwa yote alitaka kuidhinisha kazi iliyoanzishwa na muasisi Baba wa Taifa kuhamia Dom
Pia Magogoni ni Ikuku ndogo kama zilivyo nyingine mikoani.Nahisi next time atakuwa pale kwa wenzetu wa Kigoma kuapisha wakuu wa wilaya[emoji2][emoji474]
Kwa upande wa Mama,ni mapema sana tumpe muda.
Yote kwa yote, huwa pia nawaza na kuwazua kuwa endapo akipatikana Raisi wa awamu nyingine nae pia atakuwa anaenda Magogoni?
[emoji23][emoji23][emoji848]umenivua viatu Boss.Hiyo neno mapema umeandika kimahaba tu, sema ukweli wako, we si kidume?
Kuna jamaa aliwahi kuona mkia wa mbwa ulipo, kisha akaniuliza, Mbwa anananihii kwa kupitia wapi?Sasa je, uamuzi ule wa kuhamisha ikulu toka Dar mpaka Dodoma ulifanywa na hayati pekee bila kushirikisha ngazi nyingine iliyo pembeni yake na wengine hawakupendezwa na maamuzi hayo?
Mkuu watu wanamtuhumu Jiwe kuwa yale yalikuwa ni maamuzi yake binafsi kwani aliwahi kutamka hadharani kuwa " Ufisadi mkubwa ndani ya Serikali uliofanywa na Watendaji Wakuu wakiwemo Watangulizi wake wengi waliwekeza ndani ya Jiji la Dsm especialy kwenye majengo. Na majengo yale walipangishiwa Mashirika mbali mbali ya Kimataifa na Idara pamoja na Taasisi mbali mbali za Serikali. Sasa naiondoa Serikali yangu na kuipeleka Dom kama ilivyoasisiwa na Nyerere. Kisha nione haya majengo ya Mafisadi watayafanyia nn". Full kuwakomoa.Huwezi kusema ulikuwa mpango binafsi wa JPM huku awamu zote za Serikali zilikuwa zinajua kuwa yawapasa kuhamia Dodoma ila muda na rasimali vilikuwa vikwazo..!!
Mthubutu akaja kifanya japo nafahamu bila uwepo wa JPM Serikali kuhamia Dodoma lingechukua miaka 100 kuja kutekelezwa.
Mbona hiyo ipo tokea Nyerere,hayo sio matakwa ya Magufuli ila Magufuli alikuwa anatekeleza matakwa ya Nyerere.Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga.
Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa undani zaidi?
Kwa matukio mengi ya kiserikali hivi yamekuwa yakifanyika katika ofisi ya ikulu ya Dar na ukimya ukitanda kuhusu maendeleo ya Chamwino.
Sasa je, uamuzi ule wa kuhamisha ikulu toka Dar mpaka Dodoma ulifanywa na hayati pekee bila kushirikisha ngazi nyingine iliyo pembeni yake na wengine hawakupendezwa na maamuzi hayo?
Chattle , chattle , chattleWakati matukio mengi ya kiserikali yakifanyika CHATO, Ikulu ya DODOMA ilikuwa imetelekezwa?
huyu mama anakoelekea hata haeleweki, anaongea sana utendaji ZERO......Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga.
Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa undani zaidi?
Kwa matukio mengi ya kiserikali hivi yamekuwa yakifanyika katika ofisi ya ikulu ya Dar na ukimya ukitanda kuhusu maendeleo ya Chamwino.
Sasa je, uamuzi ule wa kuhamisha ikulu toka Dar mpaka Dodoma ulifanywa na hayati pekee bila kushirikisha ngazi nyingine iliyo pembeni yake na wengine hawakupendezwa na maamuzi hayo?