Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

Kilichopo kila MTU anaangalia chance ya kutupiga. Jamaa mwendazake akili yake yote aliamini kutupigia kwenye majengo. Ndio maana hata akalazimishia kujenga nyumba za Marais waliopita. Ili tu apige hela!!
 
Uamuzi haukua wa JPM bali wa Nyerere na wenzake enzi hizo..
 
Kwa hili angeendeleza Dodoma.. ili aonyeshe nae alipenda ya Baba wa Taifa.
 
Vipi kwani wanasalidalama anawapigisha foleni akiwa kwenye misafara yake nini?
 
Chamwino kuna mapepo mama akilala anaamka yuko chini ya mbuyu
 
Unashangaa iyo mbona ya dar yenyewe hakai kwani hujaona leo sasa ametokea wapi na gari wakati ni hafla inafanyika ikulu alaf tena unapanda gari kutoka wapi si utembee tu kwa miguu unaingia sehem ya hafla
 
Marais wote kasoro mmoja tu. Ishu zote walikuwa wanamalizia pwani ya salidalama
Pengine kutokana na Happ woote, isipokuwa mmoja (Kati ya walikuwa wakimalizia mambo yao pwani ya saridalama, kuwa na asili na pwani hiyo, yaani panakuwa karibu zaidi na kwao kuliko idodomya..
 
Ikulu ya Dar ipangishwe ni matumizi mabaya ya pesa kugharamia Ikulu 2 kwa pamoja.sema tu ndio vile Watanzania ni matahira tupo tupo kama hatupo.
 
Ikulu ya Dar ipangishwe ni matumizi mabaya ya pesa kugharamia Ikulu 2 kwa pamoja.sema tu ndio vile Watanzania ni matahira tupo tupo kama hatupo.
Aliyehamishia dodoma ndiye ambaye alifanya matumizi mabovu zaidi ya fedha.nchi bado maskini,viko vitu vya msingi bado hatujavifanya tukisingizia uhaba wa fedha alafu anatokea mtu anahamisha serikali bila kuangalia gharama zitakazoingia.Hiyo fedha ongepekea kwenye mambo ya msingi ingetoa mchango mkubwa sana kwenye uchumi wetu.
 
Sio rahisi mtu wa visiwani akakae bara Tena kwa wagogo. Acha jiji akakae Dodoma eti, jiji Tena changa, ukiona wapi?
 
huyu mama anakoelekea hata haeleweki, anaongea sana utendaji ZERO......


yani yeye ni dsm, zenji, dsm zenji sijui kama anaelewa anachokifanya!
Unaongopa HADHARANI....mh.Rais SSH Wala si muongeaji sana Kama USEMAVYO.....

Kwa hiyo ulitaka Ikulu ya DSM isitumike kabisa ?!!!

Mbona mtangulizi wake alikuwa anaitumia ijapokuwa alishahamia DOM ??!!

Mbona Ikulu ya CHATO ilikuwa inatumiwa mara kwa Mara ilihali DOM ipo ?!!

Mh.SSH Yuko sahihi kuitumia hata ikulu ya MAKUNDUCHI.....

#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfTanzaniaAndCCM
 
Sio rahisi mtu wa visiwani akakae bara Tena kwa wagogo. Acha jiji akakae Dodoma eti, jiji Tena changa, ukiona wapi?
Unataka kutuambia kuwa watu wa visiwani hawako SINGIDA ,DODOMA IRINGA ,MBEYA na TABORA?!!! Khaaaa 🤣🤣

Unataka kutuambia kuwa watu wa visiwani wengi wao wako huko kuliko huku bara ?!!!
 
Maza kazaliwa maeneo yenye bahari leo mnamwambia akaishi kwenye mchanga?
 
Wazenji wana affinity an bahari..ndo maana wengi wao wanakaa magomeni...kariakoo kigamboni n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…