Rais Samia kuwa makini! Kuna genge linakuandama ili uharibu

Mtu ukiwa mwenyekiti ccm, ni utake mwenyewe kushindwa tu, siunaona mwendazake ni kifo tu kilicho mzuia,bila hivo unakuwa above everything

Nchi zetu za Africa ni majanga tu, hakuna anayeweza kuziongoza na akaridhisha 70%+ ya wananchi.

Nchi ambazo bajeti zake zinategemea kujaziliziwa na wazungu (donations na loans), na mwisho wa Mwaka unakuta kila wizara haijafikia malengo kwa less than 75 to 65%, haziwezi kutawalika smoothly.
 
Ni shida ka nchi Budget hutekelezeka 30% ni ngumu kugusa na kurudhisha watu, pia mifumo yetu ya kiuongozi nayo ni janga
 
Kiongozi anaagiza A msaidizi wanafanya B atazibaje masikio
Hii nchi kuna muda lazima kiongozi ajue kuziba masikio na kufanya anachoona ni sahihi.
Watanzania wengi hawajui wanachotaka,yaani ni kama bendera fuata upepo
 
Mama wala asije kupata kigugumizi katika hili awafagie wote ambao wamejawa na unafiki na husda.
 
Ni shida ka nchi Budget hutekelezeka 30% ni ngumu kugusa na kurudhisha watu, pia mifumo yetu ya kiuongozi nayo ni janga

Huwezi kuweka mifumo ya kiuongozi vizuri huku ukijua kabisa kwamba hujitoshelezi kifedha, lazima uache mianya ya Presidential discretion linapokuja swala la kugawa keki ambayo unajua haitoshi.

Unaweka mazingira ya huyu mpe, yule mruke.
 
Anasoma mambo ya JF pia?
Mimi nashangaa nani kawazibua Watu. Kuna maneno yanatamkwa hivi sasa ambayo hata kuyaandika kwa siri enzi za Hayati Magufuli ilikuwa ngumu. Kila mtu sasa hivi anaona anaweza kuongea anyhow kuhusu Rais.

Rais anababatizwa mavitu tu mara hiki mara kile, hujafanya hiki hujafanya kile. Tuwe na heshima
 
Kweli siku mwaka.

Haya tunayoyona sasa hivi tusingeweza kudhania yanaweza tokea miezi mitatu tu iliyopita.

Kuna watu waiofaidika na utawala wa Magufuli bado wako i a state of shock!
Wana pinga kila kitu.

Hata ule utu na ustaarabu anaoonyesha Mama Samia katika hotuba zake, bado wanapinga.
Eti yuko dhaifu!!
Wana sahau kuwa alisema pale Mwanza yeye ni Rais wa Tanzania!
Na juzi karudia Ukimzingua, mta zinguana!

Wana sahau kuwa madaraka ya Mama Samia ni yale yale aliyokuwa anayo Magufuli.

Lakini sasa we have a human face na Mama anakwambia , naomba lishughulikie jambo fulani---wanasahau kuwa THATS AN ORDER!

Mabya zaidi kuna wale waliofaidika kwa wizi, unyang'anyi, uporaji na hataleo wako katika idara mbali mbali za UWT, TRA, Polisi , TCRA na idara nyingi zilizotumika kama instruments of oppression, Mama ana kazi ya kuwachunguza na kuwastaafisha kwa manufaa ya nchi na ustawi wake.

Viva Mama Samia.
 
Watamtishia mama na propaganda zao mitandaoni, sijui asipewe uenyekiti wa chama, ooh 2025 asiwe mgombea, ooh anatumiwa na kina JK.
Potelea pote nasema hivi mi10 yote kwa mama Rais, Sukuma gang wakafie mbele!
Jana mgogo kaanza kuonyesha udhaifu na kujitenga, taratibu watasalitiana.

Everyday is Saturday................................😎
 
Vivaaaaa
Mama ana kazi ya kuwachunguza na kuwastaafisha kwa manufaa ya nchi na ustawi wake.
Haka kasentensi ndicho chenye machungu kwa Majambazi waliotumikia serikali kuwadhalilisha wananchi kwa jina la serikali ya Mpendwa wetu Jiwe.

lakini najuw Wziri mkuu ndie mtendaji mkuu serikalini,yaliyofanyika yote alikuwa anayajuwa na kuyaunga mkono, sijui atawezaje kujichanganya na serikali ya Mama.

Inavyoonesha Waziri nkuu bado yuko kwenye Mabano, anajifikiria jinsi gani ataweza kutembeana mwenda wa Mama na kuachana na ule wa JPM
 
Ni sawa na kusema wanaoshangilia utawala wa mama wanafaidika nao chamsingi tuungane kujenga nchi hakuna haja ya kunyoosheana vidole
 
84806afeb5e20a1dd2374e95b62a5c2b.gif
Mtifuano uendelee
 
Kweli siku mwaka!
Haya tunayoyona sasa hivi tusingeweza kudhania yanaweza tokea miezi mitatu tu iliyopita.

Kuna watu waiofaidika na utawala wa Magufuli bado wako i a state of shock!
Wana pinga kila kitu!

Hata ule utu na ustaarabu anaoonyesha Mama Samia katika hotuba zake, bado wanapinga!
Eti yuko dhaifu!!
Wana sahau kuwa alisema pale Mwanza yeye ni Rais wa Tanzania!
Na juzi karudia Ukimzingua, mta zinguana!

Wana sahau kuwa madaraka ya Mama Samia ni yale yale aliyokuwa anayo Magufuli!

Lakini sasa we have a human face na Mama anakwambia , naomba lishughulikie jambo fulani---wanasahau kuwa THATS AN ORDER!

Mabya zaidi kuna wale waliofaidika kwa wizi, unyang'anyi, uporaji na hataleo wako katika idara mbali mbali za UWT, TRA, Polisi , TCRA na idara nyingi zilizotumika kama instruments of oppression, Mama ana kazi ya kuwachunguza na kuwastaafisha kwa manufaa ya nchi na ustawi wake.

Viva Mama Samia.
Well said aanze na Ndugai kwanza
 
Madam president,anajua siyo wote watampenda,hata mwendazake aliwahi kusema kuwa hawez pendwa na wote,na hakuja kwenye Urais Ili apendwe,same KWA mama SAMIA,Hana haja ya kupenda,keshapendwa na mume wake inatosha,aachwe tuh afanye kazi,wengine wavumilie tuh
 
Kweli siku mwaka!
Haya tunayoyona sasa hivi tusingeweza kudhania yanaweza tokea miezi mitatu tu iliyopita.

Kuna watu waiofaidika na utawala wa Magufuli bado wako i a state of shock!
Wana pinga kila kitu!

Hata ule utu na ustaarabu anaoonyesha Mama Samia katika hotuba zake, bado wanapinga!
Eti yuko dhaifu!!
Wana sahau kuwa alisema pale Mwanza yeye ni Rais wa Tanzania!
Na juzi karudia Ukimzingua, mta zinguana!

Wana sahau kuwa madaraka ya Mama Samia ni yale yale aliyokuwa anayo Magufuli!

Lakini sasa we have a human face na Mama anakwambia , naomba lishughulikie jambo fulani---wanasahau kuwa THATS AN ORDER!

Mabya zaidi kuna wale waliofaidika kwa wizi, unyang'anyi, uporaji na hataleo wako katika idara mbali mbali za UWT, TRA, Polisi , TCRA na idara nyingi zilizotumika kama instruments of oppression, Mama ana kazi ya kuwachunguza na kuwastaafisha kwa manufaa ya nchi na ustawi wake.

Viva Mama Samia.
Lile dude linaoza kaburini muda huu
 
Back
Top Bottom